Monday , February 18 2019

Home / 2018 / August / 10

Daily Archives: August 10, 2018

UJUMBE WA UAE KUTEMBELEA MIRADI MBALI MBALI PEMBA.

????????????????????????????????????

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Abdalla Mzeee ya Mkoani Mkoa wa Kusine Pemba Dk.Haji Mwita (kushoto) akifuatana na  Ujumbe wa Timu ya Wataalam kutoka Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulipofika kutembelea Hospitali hiyo leo kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali …

Read More »

WAJASIRIMALI WATAKIWA KUJENGA MAZOEA YA KUBADILISHANA UZOEFU

index

Na Ahmed Mahmoud Arusha Wajasiriamali nchini wametakiwa kujenga mazoea ya kubadilisha uzoefu na Teknolojia ili kuweza kufikia malengo ya uchumi wa kati wa viwanda hapa nchini itakayowasidia kukuza kuinua uzalishaji. Kauli hiyo imetolewa na katibu Tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega wakati akifungua semina iliyoandaliwa na shirika la viwanda …

Read More »

WANANCHI WA MONDULI WAISHUKURU SERIKALI

SHOMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo akiwa amembeba mtoto aliyeletwa Kliniki katika kituo cha afya Mto wa mbu.    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo akisalimiana na wananchi wa mto wa mbu wilayani Monduli. …

Read More »

MPINA APIGA MARUFUKU UKAMATAJI HOLELA WA MIFUGO

A

NA JOHN MAPEPELE, MOROGORO WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amepiga marufuku tabia ya ukamataji mifugo kiholela inayofanywa na baadhi ya watumishi wa umma na kusababisha mifugo mingi kufia mikononi mwa Serikali kwa kukosa huduma muhimu ikiwemo maji, malisho na matibabu na hivyo kusababisha hasara kubwa kwa wafugaji na …

Read More »

FRED LOWASSA KUGOMBEA UBUNGE MONDULI KWA TIKETI YA CHADEMA

FED

Baada ya kuwepo kwa mashinikizo mbalimbali yakimtaka mtoto wa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa awamu ya nne, Edward Lowassa kugombea Ubunge jimbo la Monduli Fred Lowassa, hatimaye ameweza kutimiza maagizo hayo kwa kuchukua fomu rasmi leo Agosti 09, 2018. Fred Lowassa amechukua maamuzi hayo baada ya jimbo hilo kuwepo wazi …

Read More »

WAZIRI BITEKO AWATAKA WATANZANIA KUACHA MAJUNGU KWA WAWEKEZAJI

IMG_20180809_125618_5

Serikali imewaasa Watanzania kuacha Tabia ya Kusema maneno yaasiyo ya kweli na majungu yanayowakatisha tamaa  wawekezaji wazalendo na kushindwa kuendelea na shughuli za uwekezaji nchini pamoja na  kuwasababishia hasara kubwa. Aidha imesema wachimbani wadogo wa  ndani wanaofuata sheria za uchimbaji madini waungwe mkono ili na wao wakue na kufikia daraja …

Read More »

NAMUNGO FC KUPAMBANA NA SIMBA YA JIJINI DSM

PMO_8443

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na wachezaji wa Namungo FC, alipowatembelea kambini kwao Wilayani Ruangwa, Agosti 10.2018 (Picha na Ofisi ya Naziri Mkuu). Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akionesha jezi ya Namungo FC, baada ya kupokea jezi hizo zilizotolewa na wafadhili wa timu hiyo, Haojue Company Limited Wilayani Ruangwa, Agosti 10.2018 …

Read More »

KAMISHNA JENERALI PHAUSTINE KASIKE AAGANA NA MAOFISA MAGEREZA WANAOKWENDA NCHINI SHELISHELI KUTEKELEZA JUKUMU LA UREKEBISHAJI

PIX 4 (5)

Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi la Magereza(walioketi) na askari wa Jeshi hilo vyeo mbalimbali(waliosimama mstari wa nyuma) mara baada ya kuagananao leo Agosti 10, 2018 jijini Dar es Salaam. Jumla ya maafisa na askari 20 wa Jeshi la Magereza wanatarajia kuondoka …

Read More »

NANGANGA-RUANGWA KUJENGWA KWA LAMI-MAJALIWA

PMO_8366

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Likunja Wilayani Ruangwa, akiwa kwenye ziara yake ya kikazi ya siku nne, Agosti 10.2018 (Picha na Ofisi ya Naziri Mkuu) WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga sh. bilioni tano katika mwaka wa fedha wa 2018/2019 kwa ajili ya …

Read More »

TAMKO LA WIZARA YA AFYA KUHUSU UGONJWA WA EBOLA NCHINI

ummymwalimu

TAMKO KUHUSU UGONJWA WA EBOLA ULIOTOKEA KATIKA NCHI JIRANI YA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO   Utangulizi Ndugu wanahabari, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inaendelea kutoa taarifa kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Nchi hiyo …

Read More »

MJI WA TANGA WAZIZIMA WAKATI WA MAZIKO YA MZEE MAJUTO

IMG_1623

NA MWANDISHI WETU,TANGA  MJI wa Tanga umezizima kwa simanzi kubwa na Huzuni leo wakati wa mwili wa aliyekuwa Msanii Nguli wa Filamu hapa nchini Amri Athumani Alimaarufu King Majuto ukitolewa nyumbani kwake eneo la Donge Jijini Tanga  tayari kwenda kuzikwa eneo la Kiruku nje ya Jiji la Tanga.   Fullshangwe Blog …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAZIRI WA MAENDELEO YA KIMATAIFA WA UINGEREZA (DFID) MHE. PENNY MORDAUNT IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

d (5)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza (Department of International Development – DFID – ) Mhe. Penny Mordaunt aliyemtembelea akiwa ameongozana na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke, na Mkuu wa ofisi ya DIFD nchini Mama Beth …

Read More »

Msimu mpya wa Premier League na DStv

DStv EPL Match 2018 Man Utd Vs Leicester City ads (facebook-851x313px) ...

Baada ya Msimu wa Kombe la Dunia kuisha tunarudi kwenye ratiba yetu rasmi ya Soka la Kibabe la Ligi ya EPL. Wanaotufungulia dimba Ijumaa hii ni mechi kati ya Manchester United dhidi ya Leicester City. Wazee wa kazi wanasema biashara asubuhi, je wabingwa hawa wataanzaje msimu huu? MAJIBU tutayapata Ijumaa …

Read More »

WAJUMBE WA SIERRA LEONE WATEMBELEA WIZARA YA FEDHA

Pix 6

Naibu Waziri wa Elimu ya Juu na Ufundi toka nchini Sierra Leone Dk. Turad Senesie (kulia) akiuliza swali kwa Kamishna Msaidizi wa Sera toka Wizara ya Fedha, Sauda Msemo (hayupo pichani) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea Ofisi za hazina na ujumbe wake ili kujifunza namna Wizara ya Fedha inavyoweza kutoa …

Read More »