Tuesday , December 11 2018

Home / MCHANGANYIKO / KAMISHNA JENERALI PHAUSTINE KASIKE AAGANA NA MAOFISA MAGEREZA WANAOKWENDA NCHINI SHELISHELI KUTEKELEZA JUKUMU LA UREKEBISHAJI

KAMISHNA JENERALI PHAUSTINE KASIKE AAGANA NA MAOFISA MAGEREZA WANAOKWENDA NCHINI SHELISHELI KUTEKELEZA JUKUMU LA UREKEBISHAJI

PIX 4 (5)

Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi la Magereza(walioketi) na askari wa Jeshi hilo vyeo mbalimbali(waliosimama mstari wa nyuma) mara baada ya kuagananao leo Agosti 10, 2018 jijini Dar es Salaam. Jumla ya maafisa na askari 20 wa Jeshi la Magereza wanatarajia kuondoka kuelekea nchini Shelisheli kutekeleza jukumu la Urekebishaji wa wahalifu nchini humo kwa mkataba wa miaka miwili(Picha zote na Jeshi la Magereza).

PIX 2 (7)

Maafisa wa Jeshi la Magereza ambao wanatarajia kuondoka kuelekea nchini Shelisheli kutekeleza jukumu la Urekebishaji wa wahalifu kwa mkataba wa miaka miwili wakijadiliana jambo kama inavyoonekana katika picha mara baada ya kuagana rasmi na Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo.

About regina

Check Also

PICHA A-min

RC MTAKA ATEKELEZA AGIZO LA RAIS, KUWAGAWIA VITAMBULISHO WAJASIRIAMALI WADOGO

  Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

3 + 19 =