Tuesday , September 25 2018

Home / MICHEZO / MICHEZO YA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YASHIKA KASI VIWANJA VYA UDSM.

MICHEZO YA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YASHIKA KASI VIWANJA VYA UDSM.

1 (1)

Wachezaji wa mchezo wa taekwondo kutoka Polisi Rwanda wakishagilia ushindi wa kwanza wa ujumla baada ya kupata vikombe viwili katika mchezo wa Taekwondo. picha zote na Jeshi la Polisi.

3

 Mchezaji taekwondo wa Polisi Tanzania mkaguzi wa Polisi (INSP) Danny  ashika 
..   nafasi ya kwanza kwa mchezo wa uzito wa juu katika michezo ya EAPCCO GAMES yanayoendelea viwanja vya chuo kikuu cha Dar es SALAA2 (1)
Naibu kamishna wa Polisi (DCP) Ahmada Khamisi akikabidhi kobe kwa mshindi wa mchezo wa Taekwondo kutoka Polisi Kenya katika michezo ya EAPCCO GAMES yanayoendelea viwanja vya chuo kikuu cha Dar es SALAAM.
 

About regina

Check Also

john_bocco_arejea_tayari_kuwakabili_mtibwa_sugar_h21644_de314

BOCCO AFIKISHA MABAO 100 LIGI KUU TANZANIA SIMBA YAICHAPA 3-1 MWADUI FC

Na Mwandishi Wetu, SHINYANGA NAHODHA John Raphael Bocco amefunga mabao mawili katika ushindi wa 3-1 …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

2 − two =