Wednesday , December 12 2018

Home / MICHEZO / Msimu mpya wa Premier League na DStv

Msimu mpya wa Premier League na DStv

DStv EPL Match 2018 Man Utd Vs Leicester City ads (facebook-851x313px) ...

Baada ya Msimu wa Kombe la Dunia kuisha tunarudi kwenye ratiba yetu rasmi ya Soka la Kibabe la Ligi ya EPL. Wanaotufungulia dimba Ijumaa hii ni mechi kati ya Manchester United dhidi ya Leicester City. Wazee wa kazi wanasema biashara asubuhi, je wabingwa hawa wataanzaje msimu huu?

MAJIBU tutayapata Ijumaa hii ndani ya Supersport 3 Saa 3:50 usiku LIVE kwenye DStv pekee ikiwa kwenye Lugha yetu tamu adhimu ya Kiswahili.

Bila kusahau, wateja wa DStv wanaweza pakua “Download Application”  ya DstvNow  itakayowawezesha watanzania wengi kufurahia msimu huu wa soka kwani unachotakiwa tu ni kuwa na akaunti yako ya DStv na unaweza kutazama katika vifaa zaidi ya vinne kama vile simu, kompyuta, na televisheni ya kawaida ukiwa mahali popote wakati wowote!

Huu Moto hauzimi na kama sio DStv, Basi Potezea!

 

About regina

Check Also

index

DIRISHA LA USAJILI KUFUNGWA DISEMBA 15,2018

Dirisha Dogo la Usajili kwa Klabu za Ligi Kuu,Daraja la Kwanza na Daraja la Pili …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

13 − six =