Friday , March 22 2019

Home / 2018 / August / 11

Daily Archives: August 11, 2018

JAFO AWATESA CHADEMA, KAMPENI ZA LALA SALAMA MOSHI

moshi kampeni (2)

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo akimuombea kura Bi Apaikunda Naburi.  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo akiwa na baadhi ya Vijana waliojiunga CCM wakitokea Chadema.  Wabunge Mhe. Ester Mmasi, Mhe. Jafo, na …

Read More »

WAZIRI MKUU AZINDUA UWANJA WA HALMASHAURI YA RUANGWA

PMO_8822

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi waliyofika kushudia mechi ya kirafiki kati ya timu ya Simba SC na Namungo FC kwenye uzinduzi wa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Agosti 11.2018 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Mkewe Mary, wakikata utepe kuzindua …

Read More »

VIJANA WAFANYA KONGAMANO JIJINI ARUSHA

Pic 9

Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Richard Kwitega (wa pili kutoka kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kongamano hilo lililofanyika ukumbi wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki (EAC) uliopo jijini Arusha. (Kulia waliokaa) ni Dkt. Majaliwa Marwa wa UNFPA na Bi. Generose Minani kutoka Ushirikiano wa Afrika …

Read More »

KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA DOTTO JAMES AMEWATAKA WATANZANIA KUNUNUA MATREKTA YANAYOTENGENEZWA KATIKA KIWANDA CHA KUUNGANISHA MATREKTA KINACHOMILIKIWA NA SERIKALI KILICHOPO KIBAHA MKOANI PWANI.

3 (8)

KATIBU Mkuu wizara ya Fedha Dotto James amewataka watanzania kuchangamkia fursa ya kununua matrekta  yaliyopo katika kiwanda cha kuunganisha matrekta ambacho kinamilikiwa na Serikali kilichopo Kibaha mkoani Pwani. Amesema kuwa matrekta hayo yanaubora wa hali ya juu na kuwahakikishia wananchi watakaoyanunua matrekta hayo kutokuwa na hofu kwani uingizwaji wake Serikali …

Read More »

WAZIRI MKUU AZINDUA UWANJA WA HALMASHAURI YA RUANGWA

PMO_8498

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu unaojengwa na halmashauri ya wilaya ya Ruangwa na amezitaka wilaya nyingine kuiga mfano huo.  Uwanja huo unaoitwa Majaliwa umezinduliwa kwa mechi kati ya timu ya wilaya ya Ruangwa ya Namungo FC inayoshiriki ligi daraja la kwanza na timu …

Read More »

MKUU WA SHULE ADAKWA AKIMFANYIA MTIHANI MWANAFUNZI

BURUNDI

MWALIMU mkuu wa shule moja nchini Burundi aliyefahamika kwa jina la  Benjamin Manirambona amekamatwa kwa kosa la kumfanyia mtihani mwanafunzi. Manirambona anadaiwa kudanganya kuwa yeye ni mwanafunzi akiwa na lengo la kumfanyia mtihani mtu mwingine. Mtuhumiwa huyo alikamatwa na Polisi akiwa kwenye darasa la mtihani ambapo alikuwa akifanya mtihani huo. …

Read More »

DKT. KIJAJI AWATAKA WANAFANYABISHARA KIGOMA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIBISHARA NA NCHI JIRANI ZA BURUNDI NA RWANDA

AC3A7318

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (katikati), akiwaasa wafanyabiashara wa Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma (hawapo pichani) kutumia fursa zilizopo katika nchi jirani ikiwemo Burundi kuuza bidhaa zilizoongezwa thamani ili kukuza uchumi wa Wilaya hiyo, alipofanya mkutano na Wafanyabiashara hao Wilayani hapo, kushoto ni Mkuu …

Read More »

UJUMBE WA EXIMBANK INDONESIA WAWASILI NCHINI LEO

DSC_0434

Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa,Fedha na Uchumi Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwakaribisha Ujumbe waEximbank ya Indonesia  pamoja na Kampuni ya Ujenzi, unaoongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Indonesia Nd,Daniel T.S.Simanjuntak (kushoto) ulipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani …

Read More »

KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO DOTTO JAMES AKABIDHI MATREKTA 10 KWA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO SUA KATIKA KIWANDA CHA URSUS-TAMCO KIBAHA MKOANI PWANI

1 (6)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Profesa Raphael Chibunda wapili kutoka (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa NDC Profesa Damian Gabagambi wakwanza (kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia …

Read More »

MAAFISA MADINI WATAKIWA KUWA VINARA MAPAMBANO YA RUSHWA

PICHA NA 1 (1)

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akifunga mafunzo ya viongozi na maafisa waandamizi wa Tume ya Madini yaliyomalizika mjini Morogoro tarehe 11 Agosti, 2018. Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila akitoa ufafanuzi kwenye ufungaji wa mafunzo hayo. Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya akielezea …

Read More »

SPIKA ATEMBELEA KIJIJI CHA CHAMKOLOMA NA MANGWETA

5T6A1644

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Kongwa akivalishwa skafu yenye bebdera ya Tanzania na skauti wa Kijiji cha Chamkomola kama ishara ya kumkubali pamoja na uongozi wa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli. Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la …

Read More »

MTATIRO ANG’OKA CUF, ATAJA MAMBO MATANO YALIYOMFANYA AHAMIE CCM

mtatiro

Na Regina Mkonde Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha CUF, Julius Mtatiro amejivua uanachama wa chama hicho na kuonyesha nia ya kuhamia chama tawala CCM huku akitaja sababu tano zilizomsukuma kufanya uamuzi huo. Mtatiro ametangaza uamuzi huo  leo tarehe 11, Agosti, 2018  wakati akizungumza na wanahabari jijini Dar …

Read More »

MKURUGENZI MTENDAJI CRDB BANK, DK. KIMEI ATEMBELEA OFISI ZA MKOA ZA SIDO JIJINI DAR ES SALAAM, AZUNGUMZA NA WANASEMINA WAJASIRIAMALI

kimei

  Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank, Dk. Charles Kimei (kushoto), akiwa pamoja na mwenyeji wake, Meneja wa Sido Mkoa wa Dar es Salaam, MacDonald Maganga, wakiwasili katika ukumbi wa semina ya wajasiriamali wa Sido, walipofika kwa ajili ya kuzungumza nao, mwishoni mwa wiki Vingunguti jijini Dar es Salaam.    Wanasemina wajasiriamali …

Read More »

OMAR AL-BASHIR ATEULIWA TENA KUGOMBEA URAIS SUDANI

BASHII

Rais wa Sudan Omar al- Bashir. Chama tawala nchini Sudani kimemteua kwa mara nyingine tena Rais wa sasa, Omar al-Bashir kuwa mgombea wa kiti cha urais kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka 2020. Shirika la habari la AFP limeripoti kwamba, Bashir aliteuliwa katika mkutano wa chama tawala uliofanyika mjini Khartoum siku …

Read More »

UJUMBE WA UAE KUTEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI MIKOA YA PEMBA LEO

DSC_0080

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba Dk.Omar Issa(kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa ujumbe wa timu ya wataalamu kutoka katika  Serikali ya Umoja wa Nchi za Kiarabu (UAE) wakati ulipofika kutembelea sehemu mbali mbali katika Hospitali ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar …

Read More »

TIRA:WANANCHI KATENI BIMA YA KILIMO

tira

  Wakwanza kushoto (mwenye miwani) Meneja wa TIRA Kanda ya Kaskazini Eliezer Rweikiza akiwa watumishi wengine kutoka Mamlaka hiyo wakitoa elimu kwa wageni waliotembelea banda hilo katika maonyesho ya nanenane Jijini Arusha.  Mmoja wawaliotembelea banda la TIRA akiuliza swali kwa watumishi wa Mamlaka ya Bima nchini katika maonyesho ya nanenane …

Read More »