Wednesday , April 24 2019

Home / MCHANGANYIKO / KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO DOTTO JAMES AKABIDHI MATREKTA 10 KWA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO SUA KATIKA KIWANDA CHA URSUS-TAMCO KIBAHA MKOANI PWANI

KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO DOTTO JAMES AKABIDHI MATREKTA 10 KWA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO SUA KATIKA KIWANDA CHA URSUS-TAMCO KIBAHA MKOANI PWANI

1 (6)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Profesa Raphael Chibunda wapili kutoka (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa NDC Profesa Damian Gabagambi wakwanza (kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo wapili kutoka (kulia), akikata utepe kuzindua Matrekta 10 ambayo ameyakabidhi kwa Chuo hicho cha SUA kutekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa wakati alipotembelea chuo hicho mkoani Morogoro tarehe 7 Mei 2018.

3 (8)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James akiangalia ubora wa  moja ya matrekta hayo 10 aliyoyakabidhi kwa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine SUA.

7 (3)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James akiangalia matrekta ambayo yanaendelea kuundwa katika kiwanda cha kutengeneza Matrekta hayo cha URSUS- TAMCO Kibaha mkoani Pwani.

10 (1)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James akizungumza katika hafla hiyo fupi ya kukabidhi ya matrekta 10 aliyoyakabidhi kwa Chuo cha Kilimo cha Sokoine SUA katika kiwanda cha kuunganisha Matrekta cha URSUS- TAMCO Kibaha mkoani Pwani.

 

About regina

Check Also

4-4

SERIKALI YAWAJAZA MAPESA BILIONI 688 WAKANDARASI WA MRADI WA UMEME WA RUFIJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James akimkabidhi Katibu Mkuu wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

16 − 13 =