Saturday , October 20 2018

Home / SIASA / SPIKA ATEMBELEA KIJIJI CHA CHAMKOLOMA NA MANGWETA

SPIKA ATEMBELEA KIJIJI CHA CHAMKOLOMA NA MANGWETA

5T6A1644

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Kongwa akivalishwa skafu yenye bebdera ya Tanzania na skauti wa Kijiji cha Chamkomola kama ishara ya kumkubali pamoja na uongozi wa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli.

5T6A1477

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akaribishwa kwa kwaya ya kanisa la ‘pentecoste’ la Kijiji cha Chamkoloma.

5T6A1444

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akalishwa kwenye kigoda, kuvalishwa shuka na kupewa fimbo na wazee wa jadi wa kata ya Kijiji cha Mangweta kama ishara ya kukubalika na kupitishwa kuwa hana mpinzani Kijiji hicho kwa mwaka 2020.

5T6A1574

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akisalimiana na watendaji wa Halmashauri ya Kongwa mapema leo hii.

About regina

Check Also

IMG_20181014_112001_199

HATIMAYE JIMBO LA LIWALE LAPATA MUWAKILISHI BUNGENI

¬†Msimamizi wa uchaguzi mdogo Jimbo la Liwale Luiza Mlelwa akimkabishi chetu mbunge mteuliwa wa Jimbo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

1 × 1 =