Wednesday , April 24 2019

Home / MCHANGANYIKO / UJUMBE WA UAE KUTEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI MIKOA YA PEMBA LEO

UJUMBE WA UAE KUTEMBELEA SEHEMU MBALI MBALI MIKOA YA PEMBA LEO

DSC_0080

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba Dk.Omar Issa(kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa ujumbe wa timu ya wataalamu kutoka katika  Serikali ya Umoja wa Nchi za Kiarabu (UAE) wakati ulipofika kutembelea sehemu mbali mbali katika Hospitali ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Nchi za UAE Mwanzoni kwa mwaka hue.[Picha na Ikulu.] 10/08/2018.

DSC_0034

Mkurugenzi Idara ya Tiba  DK.Mohamed Dahoma alipokuwa akitoa maelezo kwa ujumbe wa timu ya wataalamu kutoka katika  Serikali ya Umoja wa Nchi za Kiarabu (UAE) wakati ulipofika kutembelea katika Hospitali ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Nchi za UAE Mwanzoni kwa mwaka hue.[Picha na Ikulu.] 10/08/2018.

DSC_0218

Afisa Mdhamini katika Wizara ya Kazi,uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Pemba Nd,Khadija Khamis Rajab (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Mshauri wa Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE)  Bibi Najla Al- Kaabi (katikati)akifuatana na ujumbe wa wataalamu kutoka Serikali ya Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) uliotembelea kaaika Ushirika wa Wajasiriamali wa Kikundi cha Upendo Group Wete Pemba leo,[Picha na Ikulu.] 10/08/2018.
DSC_9914
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd.Shomari Omar Shomari (wa pili kulia)pamoja na Viongozi wengine wakimsikiliza Nd.Ali Humaid Alderei(kushoto) kutoka Mfuko wa Maendeleo wa (Abudhabi Fund) katika Ujumbe wa Timu ya Wataalam kutoka Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulipofika kutembelea mradi wa Barabara ya Mkoani-Chakechake  Pemba leo kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoifanya (UAE) mwanzoni mwa mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 10/08/2018. 

About regina

Check Also

4-4

SERIKALI YAWAJAZA MAPESA BILIONI 688 WAKANDARASI WA MRADI WA UMEME WA RUFIJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James akimkabidhi Katibu Mkuu wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

six − three =