Friday , March 22 2019

Home / 2018 / August / 12

Daily Archives: August 12, 2018

WAZIRI MKUU AMUAGIZA RPC LINDI KUMKAMATA KATIBU WA TSC

PMO_9242

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa,  Agosti 12.2018, kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Fadhili Juma, Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Hashim Mgandilwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza …

Read More »

NBC WAKALA YAZIDI KUSAMBAA NCHINI HUKU BENKI IKIDHAMINI MAONYESHO YA NANENANE SIMIYU, MKURUGENZI NAYE ATEMBELEA MIKOA KUANGALIA FURSA ZA KIBIASHARA

01 (2)

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Athony Mtaka (wa tatu kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa ofisi ya wakala mkuu wa huduma ya NBC Wakala mjini Bariadi mkoani Shinyanga hivi karibuni. Wanne kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Tanzania, Theobald Sabi pamoja na baadhi ha viongozi wa mkoa huo waliohudhuria …

Read More »

TANZANIA YA PILI MICHEZO YA EAPCCO

5 (4)

Wanamichezo wa Polisi Tanzania walioshiriki Michezo ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi ukanda wa Afrika Mashariki (EAPCCO) iliyomalizika kwa Tanzania kushika nafasi ya pili kwa ujumla wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ufungaji wa michezo hiyo (Picha na Jeshi la Polisi). Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon …

Read More »

MADIWANI WAWILI CUF MAFIA WARUDI CCM LEO

IMG_20180812_143411

Aliyekuwa diwani wa Jibondo wilayani Mafia Hassan Mohammed  Hassan ,akimpa mkono Mwenyekit wa Chama Cha Mapinduzi,Mkoani Pwani Ramadhani Maneno baada ya  kujihudhuru nyadhifa yake na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi(CCM) (picha na Mwamvua Mwinyi) NA MWAMVUA MWINYI,MAFIA MADIWANI wawili kutoka chama cha wananchi (CUF) kata ya Kilindoni na Jibondo ,wilayani Mafia …

Read More »

WAJASIRIMALI WATAKIWA KUJITOKEZA KWENYE MAFUNZO KUPATA UZOEFU

wajasiriamali

Na Ahmed Mahmoud Arusha Wadau wa Ujasiriamali mkoani Arusha wametakiwa kutoa ushirikiano sanjari na kujitokeza katika mafunzo mbali mbali ya kada hiyo lengo likiwa kufikia adhma ya serikali kufikia uchumi wa kati wa viwanda. Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa mkurugenzi wa kampuni ya Zebra Promotion Zuberi Mwinyi alisema …

Read More »

WAZIRI LUGOLA AZINDUA BONANZA LA KUTANGAZA AMANI NCHINI

PIX 2 (9)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto aliyechuchumaa) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Timu ya Mpira wa miguu ya Halmashauri ya Mji wa Bunda, mkoani Mara mara baada ya Waziri huyo kulizindua Bonanza la Amani linalotarajiwa kufanyika nchi nzima. Bonanza hilo ambalo lengo kuu …

Read More »

WANANCHI JIMBO LA BUYUNGU WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU

PICHA - 1

Baadhi ya Wakazi wa Jimbo la Buyungu waliojitokeza Kupiga Kura kumchagua Mbunge wao wakiwa kwenye mistari kuingia ndani ya Kituo cha Kupigia Kura wilayani Kakonko leo. Katika uchaguzi huo vyama 10 vya Siasa vimesimamisha wagombea. Karani mwongozaji wa Kituo cha kupigia Kura Na. 1 katika ukumbi wa mikutano wa wilaya …

Read More »