Thursday , February 21 2019

Home / MCHANGANYIKO / MKUU WA MKOA WA PWANI, MHANDISI NDIKILO ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA KIRONGWE MAFIA

MKUU WA MKOA WA PWANI, MHANDISI NDIKILO ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA KIRONGWE MAFIA

FB_IMG_1533979200798

Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo (kushoto) pamoja na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Pwani ,Ramadhani Maneno, wakishiriki katika nguvu kazi ya ujenzi wa kituo cha afya Kirongwe wilayani Mafia ,wakati wa ziara ya kamati hiyo kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM kwa kipindi cha miaka miwili na nusu ya uongozi wa serikali ya awamu ya tano. Kuanza kwa ujenzi huo imetokana serikali  kutoa kiasi cha sh. milioni 500 kwa ajili ya ujenzi huo ambao utakapokamilika kituo kitahudumia takribani wakazi kutoka vijiji vingi vinavyozunguka kata ya Kirongwe .(picha na Mwamvua Mwinyi).

IMG_20180812_134817

Sehemu ya ujenzi wa mradi wa maji safi na salama ,(inayoonekana pichani),unaojengwa kijiji cha Jibondo ,wilayani Mafia,mkoani Pwani ,ambao utakapokamilika utakaogharimu karibia bilioni mbili .(picha na Mwamvua Mwinyi).

IMG-20180812-WA0033

Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo akibeba ndoo ya samaki kumimina katika beseni la mama ambae anauza biashara ya samaki kwenye mwalo wa samaki wilayani Mafia.(picha na Mwamvua Mwinyi).

About regina

Check Also

3

HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE YAPITISHA BAJETI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 30

Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Hamisi Dikupatile akizungumza na wajumbe wa kikao cha …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

eighteen − 11 =