Friday , March 22 2019

Home / 2018 / August / 13

Daily Archives: August 13, 2018

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KILELE CHA SHEREHE YA WAKIZIMKAZI

8

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatibu Hassan wakiangalia mkoba wa wanawake uliosanifiwa na ukili waliotembelea maonyenyo ya wanawake na vijana wajasiriamali wakati wa kilele cha sherehe ya Siku ya Wakizimkazi iliyofanyika Kizimkazi Wilaya …

Read More »

MAGEREZA YAANDAA MKAKATI WA KUJITOSHELEZA KWA CHAKULA

????????????????????????????????????

Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike akipokea salaam ya heshima kutoka kwa gadi maalum iliyoandaliwa kwa ajili yake alipofanya ziara ya kiazi leo Agosti 13, 2018 katika gereza la Isanga mkoani Dodoma. Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike (wa nne kushoto) akisalimiana na mmoja wa maafisa wa gereza Isanga Dodoma …

Read More »

WATAALAM MAGONJWA YA DAMU KUTOKA AFRIKA WAKUTANA MUHIMBILI

001

Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Mohamed Bakari akizungumza na wataalamu wa magonjwa ya damu (Haematology) kwenye kongamano la kwanza ambalo limeandaliwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS). Wataalamu wa magonjwa ya damu kutoka nchi mbalimbali duniani wakifuatilia mkutano …

Read More »

POLISI MBEYA YAMSAKA DEREVA ALIYESABABISHA KIFO

MATEI

          Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamsaka Dereva wa Gari lenye namba za usajili T.574 BNF aina ya Mitsubishi Fuso kwa kosa la kuendesha gari kwa uzembe na kusababisha kifo. Ni kwamba mnamo tarehe 13.08.2018 majira ya saa 09:20 Asubuhi huko maeneo ya St.Aggrey katika …

Read More »

CCM YATAJA SIRI YA USHINDI UCHAGUZI MDOGO JIMBO 1 NA KATA 36

BASHIRU

Na Regina Mkonde CHAMA cha Mapinduzi CCM kimetaja siri ya ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa jimbo moja la Buyungu lililoko wilayani Kankono mkoani Kigoma na kata 36 uliofanyika jana tarehe 12 Agosti, 2018. Siri hiyo ya ushindi imetajwa leo tarehe 13 Agosti, 2018 na Katibu Mkuu wa CCM, …

Read More »

WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WABADILIKE KIMTAZAMO

PMO_9436

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na washiriki wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam. Agosti 13.2018 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya peni, kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) …

Read More »

IGP AMPANDISHA CHEO MWANARIADHA KWA KUVUNJA REKODI.

1 (13)

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akimpongeza Mwanariadha wa Polisi Fabian Nelson baada ya kumpandisha cheo kutoka Kostebo mpaka Koplo kutokana na kufanya vizuri katika Michezo ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi ukanda wa Afrika Mashariki (EAPCCO) iliyomalizika mwishoni mwa wiki Jijini Dar es Salaam (Picha na …

Read More »

MGOGORO WAMKIMBIZA MBUNGE WA CUF LIWALE, AREJEA CCM

kuchauka 2

Aliyekuwa Mbunge wa Liwale, Zubeir Kuchauka (wa kati kati) kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally, kulia ni Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole katika mkutano wa kumkaribisha Kuchauka aliyerejea kutoka CUF. Na Regina Mkonde ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Liwale mkoani Lindi, Zubeir Kuchauka kupitia …

Read More »

MJI MKUU WA INDONESIA, JAKARTA UNAHOFIWA KUTOWEKA IFIKAPO 2050

JAKATA

Watafiti wamebainisha kwamba, ifikapo mwaka 2050 mji mkuu wa Indonesia, Jakarta unaweza kutitia zaidi ardhini ikiwa hatua za kuzuia jambo hilo hazitachukuliwa mapema. Mafuriko katika mji wa Jakarta ni jambo la kawaida kutokana na kuzungukwa na mito takribani 13. Watafiti hao wamebainisha kuwa, mafuriko yanasababisha mji huo kuzama chini idogo …

Read More »

RAIS MAGUFULI APONGEZA JIMBO LA MBULU KUPATA ASKOFU MPYA

IMG-20180812-WA0176

Waziri wa Katiba na Sheria profesa Palamagamba Kabudi na Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti na viongozi mbalimbali wakifuatilia misa Takatifu ya kumweka wakfu Askofu wa Jimbo la Mbulu Anthony Lagwen. Askofu wa Jimbo la Mbulu Anthony Lagwen akiwekwa wakfu kuwa askofu wa Jimbo hilo mjini Mbulu Mkoani Manyara …

Read More »

WANAJESHI WA NIGERIA WAGOMA KUPAMBANA NA BOKO HARAMU

NIGERIA

Kikosi kimoja cha majeshi ya Nigeria kimefyatua risasi angani kupinga amri ya kwenda mstari wa mbele kukabiliana na wanamgombo wa Boko Haramu. Vyombo vya habari vya nchi hivyo vimeripoti kuwa askari walikataa kupanda ndege ambayo ilikuwa iwahamishe kutoka Maiduguri katika mji mkuu wa jimbo la Borno kwenda katika mji wa …

Read More »

CHIZA AIBUKA MSHINDI KWENYE UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUYUNGU

CHIZA

Na Regina Mkonde ALIYEKUWA mgombea wa CCM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Buyungu mkoani Kigoma, Christopher Chiza ameibuka mshindi kwenye uchaguzi huo uliofanyika jana tarehe 12 Agosti, 2018 kwa kupata kura 24,578. Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Buyungu, Lusubilo Mwakabibi amemtangaza Chiza kuwa mshindi alfajiri ya leo tarehe 13 …

Read More »