Wednesday , April 24 2019

Home / SIASA / MNEC SALIM ASAS AWAPONGEZA MADIWANI WA CCM WALIOSHINDA UCHAGUZI KATA 5 ZILIZOKUWA CHINI YA CHADEMA IRINGA MJINI

MNEC SALIM ASAS AWAPONGEZA MADIWANI WA CCM WALIOSHINDA UCHAGUZI KATA 5 ZILIZOKUWA CHINI YA CHADEMA IRINGA MJINI

AS1

Bw. Salim  Abri (ASAS) MNEC wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa akiwa katika picha ya pamoja na madiwani wa CCM walioshinda katika uchaguzi wa marudio Kata tano katika manispaa ya Iringa huku wakionyesha vyeti vyao  baada ya kukabidhiwa  na Tume ya Uchaguzi  leo mjini Iringa.

Madiwani hao kutoka  kata 5 za manispaa ya Iringa ambazo awali zilikuwa chini ya Utawala wa  Chama cha CHADEMA baada ya kujiuzuru nafasi zao za udiwani walijiunga na Chama cha Mapinduzi CCM na Chama hicho kiliwateua tena  kugombea  udiwani katika uchaguzi wa marudio ambapo  wagombea hao wameibuka washindi tena.

AS2

Bw. Salim  Abri (ASAS) MNEC wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa akiwapongeza  madiwani wa CCM walioshinda katika uchaguzi wa marudio Kata tano katika manispaa ya Iringa baada ya kukabidhiwa vyeti vyao vya uteuzi na Tume ya Uchaguzi  leo mjini Iringa.

AS3 AS4

Bw. Salim  Abri (ASAS) MNEC wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa akiwa katika picha ya pamoja na madiwani wa CCM walioshinda katika uchaguzi wa marudio Kata tano katika manispaa ya Iringa baada ya kukabidhiwa vyeti vyao vya uteuzi na Tume ya Uchaguzi  leo mjini Iringa na baadhi ya  wabunge wa viti maalum  CCM mkoa wa Iringa

About bukuku

Check Also

index

M/KITI WA CCM MKOA WA MAGHARIB NDG.MOHAMED-ATOA MAAGIZO MAZITO JIMBO LA BUBUBU

NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Magharibi Unguja Mohamed Rajabu Soud ametoa agizo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

19 + 10 =