Monday , September 24 2018

Home / SIASA / TWAWEZA YAKANUSHA HABARI YA GAZETI LA TANZANITE ILIYODAI MKURUGENZI WAKE NI MWANACHAMA WA CHADEMA

TWAWEZA YAKANUSHA HABARI YA GAZETI LA TANZANITE ILIYODAI MKURUGENZI WAKE NI MWANACHAMA WA CHADEMA

tanzaniteTwaweza imeona taarifa za uongo kwenye gazeti mojawapo la Agosti 13, 2018. Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza sio mwanachama na hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini Tanzania.

Twaweza ni taasisi huru isiyofungamana na itikadi yoyote wa kisiasa. Tunaamini katika uhuru na haki za msingi ikiwemo uhuru wa kujumuika na uhuru wa kutoa maoni. Hizi ni haki za msingi za binadamu ambazo zimeainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mitazamo ya kisiasa au uanachama wa kisiasa wa mfanyakazi yeyote wa Twaweza haushawishi maudhui ya kazi zetu na tafiti tunazochapisha.

About regina

Check Also

IMG_0564

BOMBOKO AMSHUKIA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE KAMA KIPANGA

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) umesema unaamini Juhudi anazofanya Rais John Magufuli ndani …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

4 × 1 =