Friday , January 18 2019

Home / 2018 / August / 14

Daily Archives: August 14, 2018

MELI YAUNGUA MOTO BAGAMOYO

????????????????????????????????????

Meli kubwa ya mizigo iitwayo MV RAHIMA (LAND CRAFT RAHIMA) ambayo imeungua moto katika bandari ya Bagamoyo,mkoani Pwani.(Picha na Mwamvua Mwinyi) ………………………………………………………. NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO Meli kubwa ya mizigo iitwayo MV RAHIMA (LAND CRAFT RAHIMA) imeungua moto kwa asilimia 20,katika bandari ya Bagamoyo,mkoani Pwani. Meli hiyo inayomilikiwa na Hamis Rashid …

Read More »

TUSHIRIKIANE KUIPAISHA KATAVI KIMAENDELEO-RC KATAVI

index1

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh. Amos Makalla akizungumza mara baada ya kukabidhiwa ofisi na kuanza rasmi kazi leo mjini Mpanda mkoani Katavi. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh. Amos Makalla akiwa pamoja na viongozi wa mkoa huo. ………………………………………………………………………… Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh. Amos Makalla mesema suala mkoa …

Read More »

TUTAHAKIKI KILA MTUMISHI UTENDAJI WAKE-ALLY HAPI

hapi

  Mkuu wa Mkoa Ally Hapi akisalimia na wazee wa Wilaya ya Kilolo alipofanya ziara yake ya kujitambulisha wilayani humo.  MKuu wa Wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah akisoma taarifa Wilaya kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa, Ally Hapi, alipofanya ziara wilayani hapo kwa ajili ya kujitambulisha. (Picha zote na Datus …

Read More »

AFRIKA KUSINI YAONESHA UTAYARI KUWA NA USHIRIKIANO SEKTA YA MADINI

1 (16)

Waziri wa Madini Angellah Kairuki akimweleza jambo Balozi ya Afrika Kusini nchini Tanzania Thami Mseleku (kushoto) wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri kairuki ofisini kwake jijini Dodoma. Waziri wa Madini Angellah Kairuki na Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania Thami Mseleku, wakijadiliana jambo ofisini kwa Waziri Kairuki, jijini Dodoma. Na Asteria …

Read More »

MRADI WA MAJITAKA KUGHARIMU DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 17.

MBARAWA

Ahmed Mahmoud Arusha  Serikali  imetia saini  jumla ya Dola za kimarekani milioni 17 ikiwa ni  makubaliano ya upanuzi wa mtandao wa majitaka katika jiji la Arusha kati ya mamlaka ya maji na majikata (AUWSA) na kampuni ya Beijing contruction Engineering Group Co.ltd. Mradi huo unatekelezwa na AUWSA kwa ufadhili wa serikali kupitia …

Read More »

MAOFISA UGANI WAAMBIWA WATOKE MAOFISI WAENDE KWA WAKULIMA

MAGANGA

NA TIGANYA VINCENT TABORA 14 August 2018 MAOFISA Ugani na wale wa Mifugo wametakiwa kwenda kwa wakulima na wafugaji ili waweze kuwafundisha matumizi ya  mbinu za kisasa ambazo zitaboresha kilimo na ufugaji wa mifugo yao kwa ajili kujipatia kipato kitakachowasaidia kujiendeleza wenyewe na Taifa kwa ujumla. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu …

Read More »

ARUMERU KUMENOGA-DC MURO

IMG-20180814-WA0048

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh Jerry C. Muro ameanza kupokea Wageni Walioonyesha Nia ya Kuwekeza Katika Ujenzi wa Viwanda Wilaya ya Arumeru. DC Muro amekutana na Kufanya Mazungumzo na Bi Rose Urio Mdau wa Masuala ya Maendeleo ambae pia ni Mzaliwa wa Wilaya ya Arumeru Ambae pamoja na wadau …

Read More »

JAFO ATOA SOMO KWA WAKUU WA WILAYA WAPYA

JAAAA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akisisitiza jambo kwa Wakuu wa Wilaya wapya 27 walioteuliwa hivi karibuni katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Taifa ya ukaguzi, Jijini Dodoma leo. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali …

Read More »

CCM YAMTEUA WAITARA KUGOMBEA UKONGA, KALANGA KUGOMBEA MONDULI

5 (6)

  KAMATI Kuu Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) leo tarehe 14 Agosti, 2018 imeketi jijini Dar es Salaam na kufanya uteuzi wa wagombea watatu katika majimbo ya Monduli, Ukonga na Korogwe Vijijini. Kamati hiyo iliongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dk. John Magufuli. Kamati hiyo imemteua Julius …

Read More »