Monday , September 24 2018

Home / MCHANGANYIKO / LUGOLA ATOA ONYO KALI KWA TRAFIKI WAOMBA RUSHWA, WANAONYANYASA WAENDESHA BODABODA WAFUATA SHERIA

LUGOLA ATOA ONYO KALI KWA TRAFIKI WAOMBA RUSHWA, WANAONYANYASA WAENDESHA BODABODA WAFUATA SHERIA

PIX 4 (8)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji cha Igundu, Jimboni kwake Mwibara, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara. Katika hotuba yake, Lugola alitoa onyo kwa baadhi ya polisi wa usalama barabarani kuacha tabia ya kuomba rushwa pamoja na kuwatesa kwa kuwaweka mahabusu waendesha bodaboda ambao wanaofuata sheria za usalama barabarani. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

PIX 1 (11)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola akipiga ngoma ya asili ya Lukuyamoyo ya Kabila la Wajita wakati alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi wa Mji mdogo wa Kisorya, Mwibara, Wilaya ya Bunda Mkoani Mara. Lugola alitoa ovyo kwa baadhi ya polisi wa usalama barabarani kuacha tabia ya kuomba rushwa pamoja na kuwatesa kwa kuwaweka mahabusu waendesha bodaboda ambao wanaofuata sheria za usalama barabarani.  Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

PIX 3 (9)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola (kulia), akimkabidhi Nyajoke Masatu, Kapteni wa Timu ya Brendabuke, zawadi ya shilingi 250,000 baada ya kuwa mshindi wa kwanza kwa kuifunga kwa penati timu ya Igundu katika mashindano ya mpira wa miguu la Bonanza la Kangi, linaloendelea katika kata 12 za Jimbo la Mwibara, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara. Katika hotuba yake, Lugola alitoa ovyo kwa baadhi ya polisi wa usalama barabarani kuacha tabia ya kuomba rushwa pamoja na kuwatesa kwa kuwaweka mahabusu waendesha bodaboda ambao wanaofuata sheria za usalama barabarani.  Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

PIX 2 (11)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola (kushoto) akimkabidhi dawati Mkuu wa Shule ya Sekondari Mwigundu, Masele Kadoke, mara baada ya Waziri huyo kufanya mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji cha Igundu, Mwibara, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara. Lugola aliikabidhi Sekondari hiyo madawati 30 katika mkutano huo na alitoa ovyo kwa baadhi ya polisi wa usalama barabarani kuacha tabia ya kuomba rushwa pamoja na kuwatesa kwa kuwaweka mahabusu waendesha bodaboda ambao wanaofuata sheria za usalama barabarani.. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

About regina

Check Also

nape 2

NAPE NNAUYE APATA AJALI NJIANI AKIELEKEA KWENYE ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM

Gari alilokuwa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye likiwa limepinduka baada ya kupata ajali katika kijiji …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

17 − eight =