Friday , January 18 2019

Home / SIASA / MWENYEKITI WA CCM TAIFA, DKT. JOHN MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HLMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

MWENYEKITI WA CCM TAIFA, DKT. JOHN MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HLMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

IMG-20180814-WA0043

Mwenyekiti wa CCM John Magufuli akisalimiana na makamu mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula na katikati ni Dk.Bashiru Ali Katibu mkuu wa CCMmjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM alipowasili katika ofisi ndogo za chama hicho zilizopo Lumumba jijini Dar es Salaam.

IMG-20180814-WA0042

Ndugu John Pombe Joseph Magufuli Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba kwa ajili ya kuendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

IMG-20180814-WA0041

Ndugu John Pombe Joseph Magufuli Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa katika ukumbi wa mikutano katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba kwa ajili ya kuendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

About regina

Check Also

AAAAAAAAAAAAAA

WAPINZANI WAVUTANA MUSWADA WA VYAMA VYA SIASA

Na.Alex Sonna,Dodoma Muunganiko wa Vyama vya upinzani visivyo kuwa na wabunge Bungeni vimeyataka mataifa ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

13 + seven =