Saturday , November 17 2018

Home / MICHEZO / UEFA SUPER CUP JUMATANO HII KULE HISPANIA MAMBO NI HIVI, MAMBO NI MOTO!!

UEFA SUPER CUP JUMATANO HII KULE HISPANIA MAMBO NI HIVI, MAMBO NI MOTO!!

DStv UEFA SUPERCUP Match 2018 Real Madrid vs Atletico Madrid ads Instagr...

Nani atakuwa bingwa ya Super Cup, kati ya Real Madrid Na Atletico Madrid Jumatano hii? Usikose mechi hii kali ya mabingwa hawa mawili wakiwania ubingwa wa jumla wa Super Cup ndani ya DStv , Ni  Jumatano hii saa 4 usiku kupitia Supersport 3 iliyopo kwenye DStv pekee kifurushi Compact kwa sh.69,000 tu!

Bila kusahau, wateja wa DStv wanaweza pakua “Download Application”  ya DstvNow  itakayowawezesha watanzania wengi kufurahia msimu huu wa soka kwani unachotakiwa tu ni kuwa na akaunti yako ya DStv na unaweza kutazama katika vifaa zaidi ya vinne kama vile simu, kompyuta, na televisheni ya kawaida ukiwa mahali popote wakati wowote bila gharama ya ziada!

Ukiwa Na DStv, soka ni mwanzo mwisho yani Moto hauzimi, na kama sio DStv, Potezea!

 

About regina

Check Also

images

RT yamtambulisha mkufunzi kutoka Japan

SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT), jana limemtambulisha Mkufunzi wa kujitolea kutoka nchini Japan, Ayane Sato. …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

9 − 9 =