Friday , January 18 2019

Home / 2018 / August / 15

Daily Archives: August 15, 2018

JESHI LA POLISI LAWATAKA WANANCHI WILAYANI MISUNGWI MKOANI MWANZA KUTOA USHIRIKIANO JUU YA UHALIFU UNAOENDELEA MAENEO HAYO

PICHA NO 1

Mkuu Wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi, Naibu Kamishna (DCP) Liberates Sabas, akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji cha Nyamayinza, Tarafa ya Inonelwa, Kata Gulumangu ya, Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza kuhusu kushirikiana na Jeshi la Polisi kwaajili ya  kukabiliana na mauaji ya wanawake yanayotokana na …

Read More »

UJUMBE WA CRDB WAFANYA ZIARA TUME YA MADINI

PICHA NA 1

Jana tarehe 14 Agosti, 2018  ujumbe kutoka CRDB ukiongozwa na Mkurugenzi wake Dk. Charles Kimei ulifanya ziara katika Ofisi za Tume ya Madini zilizopo jijini Dodoma lengo likiwa  ni kufahamu majukumu na shughuli za Tume. Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei  (kulia) akibadilishana mawazo na Katibu Mtendaji wa Tume …

Read More »

PROFESA KABUDI ATEMA CHECHE DODOMA

PMO_9593

Akerwa na maamuzi kufanyika bila Ofisi ya Mwanasheria Mkuu kuarifiwa Asema Wizara yake imeamua kubadili taswira ya Ofisi yake WAZIRI wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi amesema kuanzia sasa mawakili walioko kwenye Ofisi ya Mwanasheria Mkuu na wanasheria wote katika Wizara, Mamlaka za Serikali za Mitaa na taasisi za Serikali watakuwa …

Read More »

BADO TUNAHITAJI WAWEKEZAJI KWENYE SUKARI-MAJALIWA

PMO_9847

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Mauritus nchini mwenye makazi yake, Maputo nchini Msumbiji, Jean Pierre  Jhumun, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dodoma, Agiosti 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja  na Balozi wa Mauritius nchini mwenye makazi …

Read More »

WATAALAM KUCHUNGUNZA UCHIMBAJI MADINI HIFADHI YA AMANI, TANGA

PICHA 1 (1)

Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko,( mwenye Tshit nyekundu) na Mbunge wa Mheza Balozi Rajab Adad (mbele) wakielekea eneo lililokuwa likitumiwa na wachimbaji wadogo kuchimba madini pia likidaiwa kuwa chanzo cha maji katika hifadhi ya misitu wa asili wa amani, mheza Tanga. Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko,( katikati) akizungumza …

Read More »

WAZIRI MKUU AHIMIZA UBOBEZI KWENYE SHERIA

majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa kuibuka kwa sekta za mafuta na gesi hapa nchini kumeleta haja ya kuwa na wabobezi wa masuala hayo katika taaluma ya sheria.  “Taaluma ya sheria kwa sasa inahitaji kuwepo kwa ubobezi. Imekuwa si rahisi tena kwa mwanasheria kuwa na utaalamu wa kutosha katika maeneo yote ya …

Read More »

RAIS MAGUFULI NA HISTORIA ISIYOFUTIKA

JPM

  Na Emmanuel J. Shilatu Kama ambavyo Watanzania tunavyomkumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kusaidia ukombozi wa upatikanaji wa uhuru ama kama ambavyo Hayati Moringe anavyokumbukwa kwa mapambano ya ubadhirifu wa mali za umma, pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anazidi …

Read More »

WAZIRI MKUU KUANZA ZIARA MKOANI TABORA KESHO

PMO_9436

NA TIGANYA VINCENT RS TABORA 15 Aug. 18 Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Tabora ambapo atawasili mkoani  humo kesho. Baada ya Waziri Mkuu kuwasili atapokelewa na viongozi wa Serikali na kusomewa taarifa ya Mkoa wa Tabora. Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa …

Read More »

DSTV SASA KURUSHA SERIE A- KIFURUSHI CHA BOMBA!

serie

Mechi zote 380 kwenye ‘live’ HD ndani ya Bomba Pia Mechi zote 380 za La Liga kuonekana Mechi 108 za Ligi ya Uingereza (EPL) nzao ndani ya Kifurushi cha Bomba   Siku chache tu kabla ya kuanza kwa moja ya ligi maarufu Duniani – Ligi kuu ya Italia Serie A, …

Read More »

IGP APONGEZA UTULIVU CHAGUZI NDOGO.

SIRO

Na Jeshi la Polisi. Jeshi la Polisi nchini limewahakikishia wananchi kuendelea kuwepo kwa hali ya usalama na Amani hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuendelea kuwepo kwa hali ya utulivu na usalama katika chaguzi ndogo. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro mjini Moshi Mkoani …

Read More »

WABADHILIFU MALI ZA MAGEREZA KUKIONA

PIX 3 (10)

Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike (katikati) akikagua moja ya nyumba zinazojengwa kwa mtindo wa kujitolea gerezani Mpwapwa. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Salum Omari na wa kwanza kushoto ni mkuu wa Gereza Mpwapwa Mrakibu Mwandamizi wa Magereza (SSP) …

Read More »

BALOZI DKT. ABDALLAH POSSI ATOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUJA TANZANIA KWANI INA MAZINGIRA MAZURI

Balozi wa Tanzania nchini Ujermani Mhe.dtk.Abdallah Possi akiwa na wawekezaji wakiangalia naadhi ya bidhaa katika maonyesho mjini Tubingen,Ujerumani

BALOZI wa Tanzania nchini Ujerumani, Dkt. Abdallah Possi amewataka wakezaji kutoka nchini humo kuja kuwekeza hapa nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji. Dkt. Possi ametoa wito huo katika maonyesho ya ‘International Afrika Festival’ yaliyofanyika kwenye viwanja vya maonyesho ya International Afrika Festival Tübingen nchini Ujerumani. Onyesho lilifana sana sana …

Read More »