Friday , March 22 2019

Home / 2018 / August / 16

Daily Archives: August 16, 2018

DK.BASHIRU KUTUA ZANZIBAR KWA MARA YA KWANZA.

bashiru 3

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR. KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.Bashiru Ally anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku nne visiwani humu Agosti 17 hadi 20 mwaka huu. Dk.Bashiru anafanya ziara hiyo kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo Mei mwaka huu baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu …

Read More »

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFANYA ZIARA WILAYANI IGUNGA

PMO_9877

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa Dini wakati alipowasili kwenye kiwanja cha Mnadani katika mji mdogo wa Igunga kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 16, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Igunga kwenye ukumbi wa Halmashauri …

Read More »

MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI MPYA ATAMBULISHWA RASMI

PICHA NA. 2

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustin Kamuzora, akisalimiana na Mpigachapa MKuu wa Serikali mpya, Bwana Maximillian Masesa ambaye ameteuliwa hivi karibuni kushika nafasi hiyo wakati wa mkutano wa kumtambulisha kwa wafanyaka wa Idara ya kupiga chapa ya Serikali, Jijini Dar es Salaam,  tarehe 16 Agosti, 2018. …

Read More »

ZSSF YATOA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WANAOTARAJIWA KUSTAAFU.

DSCN0993

  Mkurugenzi Mtendaji Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar  (ZSSF)  Sabra Issa Machano akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Khamis Mussa Omar  ambae ni Mgeni Rasmin katika  ufunguzi wa Mafunzo ya Kwanza kwa Wastaafu watarajiwa yaliyofanyika Ukumbi wa Mkutano   kariakoo Mjini Zanzibar. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha …

Read More »

CLARIFICATION ON MISLEADING RUMOURS REGARDING THE ON-GOING VOLUNTARY REPATRIATION EXERCISE OF BURUNDIAN REFUGEES FROM TANZANIA

Coat_of_arms_of_Tanzania.svg

INTRODUCTION For more than five decades, The United Republic of Tanzania has been receiving and hosting refugees from different countries. Tanzania remains committed in finding durable solutions for these refugees, which have included naturalizing more than 250,000, of whom 162,156 were Burundians who entered Tanzania in 1972. In the same …

Read More »

MAHAKAMA KUU KANDA MBEYA YAPATA JAJI MFAWIDHI

1

Mhe Jaji Makaramba akisaini kitabu cha wageni. Mhe. Dkt. Levira akisoma taarifa ya makabidhiano ya ofisi. Watumishi wakimsikiliza Mhe. Makaramba (hayupo pichani) Jaji Mfawidhi-Mahakama Kuu, Kanda ya Mbeya, Mhe. Robert Makaramba (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na baadhi ya Watumishi wa Mahakama Kanda ya Mbeya, …

Read More »

WAZIRI MKUU AAGIZA KUKAMATWA KWA MTENDAJI

PMO_9987

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi  wa Halmashauri ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo, Agosti 16, 2018. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Igunga, John Mwaipopo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi ya …

Read More »

Wahasibu na Maafisa Tehama wa Wizara ya Habari, wanufaika na Mafunzo ya Ukusanyaji Maduhuli kieletroniki.

Pix 1

Mchambuzi Mkuu wa Mifumo ya Kompyuta kutoka Wizara ya Fedha na Mipango  Bibi. Stella Nguma akifafanua jambo kwa Wahasibu na Maafisa Tehama wa Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo (hawapo katika picha) wakati wa mafunzo  ya matumizi  ya mfumo wa kieletroniki wa ukusanyaji  maduhuli ya serikali (Government Eletroniki Payment Gateaway-GePG), …

Read More »

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUTOKA MKOA WA MBEYA

kamandamtei-620x308

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawasaka watu wanaodaiwa kufanya uharibifu wa miundombinu ya maji huko katika Kijiji cha Ngole, Kata ya Ilungu, Tarafa ya Tembela, Wilaya ya Mbeya Vijijini.  Ni kwamba mnamo tarehe 15.08.2018 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mheshimiwa ALBERT CHALAMILA akiwa katika kikao cha baraza la madiwani …

Read More »

TANAPA WAZINDUA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI

IMG_1216

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akizungumza mjini Babati jana kwenye kikao cha uzinduzi wa mpango wa matumizi bora ya ardhi ya vijiji vinavyopakana na hifadhi za Taifa, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga. …

Read More »

Muhimbili Yashauriwa Kuwekeza zaidi katika Mifumo ya TEHAMA

????????????????????????????????????

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Serikali Mtandao, Dkt. Jabir Bakari akitoa mada kwenye mafunzo ya uongozi bora yaliowahusisha viongozi mbalimbali wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Baadhi wakurugenzi, wakuu wa idara, wakuu wa vitengo na mameneja wa majengo wakiwa kwenye mafunzo hayo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere …

Read More »

Mhe.Waziri Mwakyembe kuzungumza na watendaji wakuu TRA

PIX 3

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na wadau wa kisekta wa Mkoa wa Geita leo katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo kwa lengo la kupata taarifa za utekelezaji wa shughuli zao na kujua changamoto zao  ili serikali iweze kuchukua hatua stahiki, kutoka kushoto ni  …

Read More »

Jukwaa la Fursa za Biashara Geita la Kuongeza kasi ya ukuaji wa Uchumi

PIX 5

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe akitizama mvinyo uitwao (Perfect Wine) iliyoandaliwa kwa matunda ya nanasi iliyotengenzwa na kikundi cha Cris Food Products wa mkoani Geita alipokuwa akitembelea mabanda ya wafanyabiashara waliyoshiriki Jukwaa la Fursa za Biashara leo katika viwanja vya Gadeco,ambapo jukwaa hilo limeandaliwa na …

Read More »

MultiChoice yamwaga Bajaji 27 kwa vijana

1

MultiChoice yawawezesha vijana ·        Yawafungulia ofisi za uwakala wa DStv ·        Yawadhamini vitendea kazi – Bajaji ·        Mradi huo kusambaa nchi nzima  Kampuni ya MultiChoice Tanzania imeimarisha mkakati wake wa kuwawezesha vijana wa Kitanzania kibiashara na kiuchumi kwa kuwafungulia ofisi za uwakala wa DStv na kuwadhamini vitendea kazi mbalimbali ikiwemo kompyuta na pikipiki …

Read More »

WANANCHI ZAIDI 2000 WANUFAIKA NA MAJI SAFI SALAMA SIMIYU

PICHA A (1)

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2018, Ndg. Charles Francis Kabeho akimtwisha ndoo ya maji Bi. Perusi Makeleja Mkazi wa Kijiji cha Lagangabilili wilayani Itilima mara baada ya kufungua mradi wa maji utakaowahudumia zaidi ya wananchi 2000, katika mbio za Mwenge wa Uhuru wilayani humo leo Agosti …

Read More »