Friday , January 18 2019

Home / 2018 / August / 17

Daily Archives: August 17, 2018

WAENDESHA MASHTAKA KUJENGEWA CHUO

IMG_3797

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, Bw. Biswalo Mganga akisalimia na Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  muda mfupi kabla ya  Waziri Mkuu kuzindua Ofisi  ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, tukio lilofanyika kati kati ya wiki Jijini Dodoma. Katika …

Read More »

WASANII WA FILAMU WAASWA KUJUA THAMANI YA KAZI ZAO

Pix 4

Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (katikati) akiongoza kikao na viongozi wa Kamati ya Matukio, Maadili na Mikataba wa Chama cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni (Tanzania Drama Film Actors Association-Kinondoni) walipotembelea ofisi za Bodi ya Filamu kuwatambulisha viongozi wa chama hicho kwa uongozi wa Bodi ya Filamu …

Read More »

DC MURO KUWASHUGHULIKIA WANAUME WALIOTELEKEZA WATOTO ARUMERU

msumba

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru  Mh.Jerry Muro ametoa mwezi mmoja kwa wanaume waliotelekeza watoto wilayani humo  kuhakikisha wanaanza kutafuta watoto wao  na kuanza kuwahudumia . Dc Muro Alisema baada ya muda aliotoa kuisha ataanza kuwakaribisha Wanawake wote wanaoishi wilayani humo  waliotelekezewa watoto kupeleka Malalamiko yap ofisini kwake. Muro alitoa  maagizo …

Read More »

MA’DC FANYENI TATHMINI YA MALI ZA HALMASHAURI-MAJALIWA

PMO_0219

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa wilaya nchini washirikiane na Madiwani katika halmashauri zao wafanye tathmini ya mali zote zinazomilikwa na halmashauri vikiwemo vibanda vya biashara ili kujiridhisha kama viwango vinavyotozwa vinalingana na hali halisi ya uchumi kwa sasa.  Amesema licha ya tathmini hiyo kuwawezesha kufahamu viwango vinavyotozwa, pia …

Read More »

KATIBU MKUU CCM WAAMUA KUWAJIBU UBALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA

CCM+KUSIFU+PIC

*Awataka Marekani kuheshimu uhuru kamili wa Taifa letu *Asema chaguzi hizo zimefanyika kwa misingi ya kisheria KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dk.Bashiru Ally ameamua kutoa msimamo wa Chama hicho kuhusu taarifa iiliyotolewa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhusu uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buyungu pamoja na kata 71 …

Read More »

Wagonjwa 22 watibiwa katika kambi maalum ya matibabu ya moyo iliyofanywa na madaktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Madaktari Afrika wa nchini Marekani

Picha no. 2 (1)

Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Madaktari Afrika la nchini Marekani  wakiangalia jinsi mfumo wa umeme wa moyo wa mgonjwa unavyofanya kazi kabla ya kumwekea kifaa maalum cha kuusaidia moyo kufanya kazi  vizuri (Implantable cardioverter defibrillator – ICD)  katika  kambi ya  matibabu kwa wagonjwa …

Read More »

WAZIRI MKUU AWATANGAZIA VITA MAFATAKI

3 (18)

NA TIGANYA VINCENT RS TABORA 17 August 2018 WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka wanajamii wote katika maeneo wanayoishi kuwa walinzi wa wanafunzi wa kike ili kuwakinga na watu wazima na vijana wenye tabia ya kuwarubuni na kuwapa ujauzito. Alisema watu wenye tabia mbaya wamekuwa …

Read More »

Maugo, Misanjo, Class Mazola kuonyesha ubabe kesho PTA

box3

Promota wa kwanza kike wa ngumi za kulipwa nchini, Sophia Mwakagenda (Kati kati) akiwatambulisha mabondia, Baina Mazola  (Kushoto) na Ibrahim Class ambao watapambana leo Jumamosi kwenye ukumbi wa PTA, Sabasaba. Promota wa kwanza kike wa ngumi za kulipwa nchini, Sophia Mwakagenda (Kati kati) akiwatambulisha mabondia, Saraphina Julius (Kulia) na  Flora Machela ambao watapambana …

Read More »

MAOFISA KILIMO WAAGIZWA KUONDAKA MJINI NA KUHAMIA VIJIJINI

1a (2)

NA  TIGANYA VINCENT RS TABORA 17 August 2018 SERIKALI imewaagiza Maofisa Kilimo wote nchini kuondoka Ofisini na kuhamia vijijini kwa ajili ya kuwasaidia wakulima kulima kilimo cha kisasa na kitakachowaondoa katika umasikini. Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa wakati akizungumza na watumishi …

Read More »

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI MSTAAFU JOSEPH ANAEL LESULIE. ADA ESTATE JIJINI DAR ES SALAAM.AGOSTI 17,2018

7 (4)

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitia saini katika kitabu cha Maombelezo cha Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018 Rais wa jamhuri ya Muungano wa …

Read More »

Dk.Shein akutana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano.

DSC_1273

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu.] 17/08/2018. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein …

Read More »

NDC wazindua Uuzaji wa Trekta za URSUS Mkoa wa Mwanza

NDC-1

Mwenyekiti wa Bodi ya NDC Dr Samuel Nyantahe  akitoa maelezo juu ya mradi wa kuunganisha matrekta unaotekelezwa hapa nchini chini ya NDC wakati wa uzinduzi wa Uuzaji Trekta hizo mkoa wa Mwanza katika eneo la Viwanda Makuyuni.( 16.08.2018) Mwakilishi kutoka Bneki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) Bw Steven Kang’ombe akitoa …

Read More »

UJAMBAZI WA SILAHA UMEPUNGUA NCHINI-IGP SIRRO

5 (1)

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na  na Wakazi wa Kata ya Mto wa Mbu Wilayani Monduli katika mkutano wa hadhara wakati wa Ziara yakeya kikazi Mkoani Arusha yenye lengo la kutatua changamoto za uhalifu (Picha na Jeshi la Polisi). Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini …

Read More »