Friday , March 22 2019

Home / 2018 / August / 18

Daily Archives: August 18, 2018

RAIS SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA TIBIRINZI PEMBA

DSC_1991

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) alipowasili katika uzinduzi wa Kongamano la tano la Diaspora Tanzania lililofanyika leo katika ukumbi katika kiwanja cha Tibirinzi Chake chake …

Read More »

WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT), TAASISI YA SEKTA BINAFSI TANZANIA (TPSF) NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN HAPA NCHINI JIJINI DAR ES SALAAM.

mpina

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina kushoto akipokea zawadi ya mtungi wa kiasili kutoka kwa Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida mara baada ya kufanya mazungumzo katika ofisi ndogo ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi jijini Dar es Salaam leo. Picha na Mpiga Picha Wetu. Waziri wa Mifugo na …

Read More »

WAZIRI MKUU AAGIZA MHASIBU ALIYEHAMISHWA ARUDISHWE

PMO_0188

NA TIGANYA VINCENT 18 August 2018 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa Manispaa ya Tabora kumrejesha kwenye nafasi yake ya Uhasibu Halima Temihaga ambaye alihamishiwa Ofisi ya masoko baada ya kuwalalmikia  viongozi wa Idara yake. Mhe. Majaliwa ametoa agizo hilo leo mjini hapa wakati …

Read More »

SERIKALI KUTOA MILIONI 405 KUKAMILISHA CHUO CHA AFYA TABORA

2 (26)

NA TIGANYA VINCENT 18 August 2018 WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameahidi kuhakikisha kuwa kiasi cha shilingi milioni 405.7 zilizobaki zinatolewa kwa ajili ya ukamilishaji wa Chuo cha Afya cha Tabora ili kazi zilizobaki zimalizike na kianze kutoa mafunzo. Alisema lengo ni kuhakikisha ikifika mwakani …

Read More »

WAZIRI MKUU AWAONYA MADIWANI TABORA

2c

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora na wa Manispaa ya Tabora na viongozi mbalimbali leo ikiwa  ni siku ya mwisho ya ziara yake Mkoani humo. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa …

Read More »

WAZIRI KAMWELWE AAGIZA TANROADS KUICHUNGUZA KAMPUNI YA CHICO

1 (20)

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, (wa pili kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Wanging’ombe, Gerson Lwenge (wa pili kulia),  Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole-Sendeka (kushoto) wakati akikagua ujenzi wa barabara ya Njombe-Moronga yenye urefu wa KM 53.9, mkoani humo. Kulia ni Meneja wa …

Read More »

KATIBU MKUU WA UN, KOFI ANANI AFARIKI DUNIA

kofi

 KATIBU Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa (UN) Kofi Annan (80), amefariki dunia asubuhi leo tarehe 18 Agosti, 2018. Taarifa zilizopatikana mchana huu, zinaeleza kuwa Annan, aliyekuwa katibu mkuu wa saba wa umoja huo – kuanzia 1996 hadi 2006, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu nchini Switzerland.   Inaelezwa kuwa …

Read More »

Mdau wa maendeleo wilayani Chemba Khamis Mkotya aombewa dua

MKO2

Mkazi wa Kijiji cha Kidoka Wilaya ya Chemba, Roza Mkali, akiwa amemshika kichwa mdau wa maendeleo wa wilaya hiyo, Khamis Mkotya, ikiwa ni ishara ya kumwombea dua na kumshukuru baada ya kufanikisha familia hiyo na nyingine zaidi ya tano kijijini hapo kulipwa fidia ya mashamba yao yaliyokuwa yamechukuliwa na mkandarasi …

Read More »

RC PWANI APIGA MARUFUKU UINGIZWAJI WA MIFUGO KATIKA ENEO LA UWEKEZAJI WA KIWANDA CHA SUKARI CHA BAKHRESA

IMG_20180816_121926

NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO MKUU wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo amepiga marufuku uingizwaji wa mifugo katika eneo la kampuni ya Said Salim Bakhresa Group Ltd,ambalo amekusudia kuanza ujenzi wa kiwanda cha sukari Juni 2019 na uzalishaji ifikapo septemba 2020-2021.  Aidha amewasihi wafugaji kuheshimu maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji na …

Read More »

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Kampuni ya Merck waandaa mkutano wa kwanza wa kutathimini magonjwa ya moyo nchini

picha no. 1 (1)

Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)  Delila Kimambo akielezea jinsi mashine ya kupima moyo  (Echocardiogram) inavyofanya kazi  ya kutambua matatizo yaliyopo  katika moyo wakati wa mkutano wa kwanza wa kitaifa wa kutathmini magonjwa ya moyo nchini …

Read More »

HATUTAONGEZA MUDA WA UJENZI, NAIBU WAZIRI KWANDIKWA

2 (23)

Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias John Kwandikwa akisisitiza jambo kwa Mbunge wa Songwe Mhe. Philipo Mulugo alipokagua ujenzi wa daraja la Kikamba wilayani Songwe, daraja hilo linaunganisha Mkoa wa Songwe na Katavi. Kaimu Meneja  wa Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Mbeya mhandisi Selemani Lawena wa kwanza (kulia), akitoa …

Read More »

WATUMISHI WA HAZINA NDOGO PWANI WADAIWA KUIBA MIL.284.8

IMG_20180817_091149

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI JESHI la polisi mkoani Pwani,linawashikilia wafanyakazi wa hazina ndogo wanne pamoja na mhasibu wa jeshi la Magereza ,kwa mahojiano kufuatia tukio la kuhughushi hati na kuiba kiasi cha sh.milioni 284.845.758.3. Aidha, Jeshi hilo linamtafuta na kumtaka mkurugenzi wa kampuni ya Usambara Grocery and Vegetable Supplies na kampuni …

Read More »

WATENDAJI WA HALMASHAURI HAMUENDI KWA WANANCHI-MAJALIWA

PMO_0407 2

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Parking katika mji mdogo wa Nzega Agosti 17, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mbunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe wakati alipowasili kwenye uwanja wa Parking katika mji mdogo wa Nzega kuhutubia …

Read More »

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ASAFILI KWA NDEGE YA BOEING 787-8 DREAM LINER AKIELEKEA MWANZA.AGOSTI 18,2018.

5 (7)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwasalimia abiria ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa akielekea Jijini Mwanza  ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria wengine.Agosti 18,2018. Rais wa …

Read More »

JAFO AIAGIZA TARURA KUMSIMAMIA MKANDARASI WA DARAJA LA MBUCHI

IMG_20180814_115544

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA WAZIRI wa nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaaa  (TAMISEMI) Seleman Jafo, ameiagiza TARURA kuhakikisha inamsimamia mkandarasi aliyopewa zabuni ya ujenzi wa daraja la Mbuchi huko Kibiti . Amesema ujenzi wa daraja hilo fedha zake tayari zimetolewa sh.bilioni mbili huku hadi sasa ujenzi wake …

Read More »

4th Annual Tony Elumelu Foundation Entrepreneurship Forum Announced for 25th October 2018

tony

  Africa’s leading entrepreneurship-focused philanthropic organisation, the Tony Elumelu Foundation (TEF), has announced October 25, 2018, as the date for its 4thannual TEF Entrepreneurship Forum. The largest gathering of African entrepreneurs and the broader entrepreneurship ecosystem will unite over 5,000 entrepreneurs, global investors, leaders from the African public and private …

Read More »

DC MUHEZA AWAONYA WALANGUZI WA KOROSHO

muheza

MKUU wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo amewaonya walanguzi wa korosho kutoka kwa wakulima wilayani humo kuacha tabia hiyo mara moja kabla hawajakumbana na mkono wa sheria. Badala ametaka ufuatwe utaratibu ambao umewekwa wilayani humo wa korosho hiyo kukusanywa kwenye maghala na kuuzwa kwa utaratibu uliopagwa ili mkulima aweze …

Read More »