Saturday , November 17 2018

Home / MCHANGANYIKO / MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA DHIFA ILIYOANDALIWA NA RAIS WA NAMIBIA MJINI WINDHOEK

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA DHIFA ILIYOANDALIWA NA RAIS WA NAMIBIA MJINI WINDHOEK

d (2)

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika ukumbi wa Country Club mjini Windhoek kuhudhuria dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Mwenyekiti mpya wa SADC na Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob kwa heshima ya viongozi wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Afrika ya Kusini (SADC) Ijumaa usiku Agosti 17, 2018

d (9)

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na viongozi wenzake wakisimama wakati nyimbo za taifa zikipigwa  katika ukumbi wa Country Club mjini Windhoek kuhudhuria dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Mwenyekiti mpya wa SADC na Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob kwa heshima ya viongozi wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Afrika ya Kusini (SADC) Ijumaa usiku Agosti 17, 2018

d (13)

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi wezake katika ukumbi wa Country Club mjini Windhoek kuhudhuria dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Mwenyekiti mpya wa SADC na Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob kwa heshima ya viongozi wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Afrika ya Kusini (SADC) Ijumaa usiku Agosti 17, 2018

d (15)

Mwenyekiti mpya wa SADC na Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob (wa tatu kushoto) na wageni wake kwenye dhifa ya kitaifa aliyoandaa kwa heshima ya viongozi wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Afrika ya Kusini (SADC) Ijumaa usiku Agosti 17, 2018. Wengine kutoka kushoto ni Rais Edgar Lungu wa Zambia, Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika ya Kusini, Mama Geingob, Katibu Mtendaji wa Sadc Dkt. Sergomena Tax na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Nambia, Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah

d (16) d (20)

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Edwin Paul Mhede ukumbi wa Country Club mjini Windhoek  baada ya dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Mwenyekiti mpya wa SADC na Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob kwa heshima ya viongozi wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Afrika ya Kusini (SADC) Ijumaa usiku Agosti 17, 2018

d (21)

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Elimu ya Juu wa Namibia pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Dkt. Augustine Mahiga, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Edwin Paul Mhede (wa pili kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Ali Khamis Wa tatu kushoto), Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini Mhe. Sylvester Ambokile (nyuma ya Makamu wa Rais) na Balozi wa Namibia nchini Tanzania Bi. Theresia Samaria (koti jekundu) ukumbi wa Country Club mjini Windhoek  baada ya dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Mwenyekiti mpya wa SADC na Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob kwa heshima ya viongozi wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Afrika ya Kusini (SADC) Ijumaa usiku Agosti 17, 2018

d (22)

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hasna Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Dkt. Augustine Mahiga, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Edwin Paul Mhede (wa pili kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Ali Khamis, Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini Mhe. Sylvester Ambokile na afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika ukumbi wa Country Club mjini Windhoek  baada ya dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Mwenyekiti mpya wa SADC na Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob kwa heshima ya viongozi wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Afrika ya Kusini (SADC) Ijumaa usiku Agosti 17, 2018

d (24)

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoka ukumbi wa Country Club mjini Windhoek kuhudhuria dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Mwenyekiti mpya wa SADC na Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob kwa heshima ya viongozi wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Afrika ya Kusini (SADC) Ijumaa usiku Agosti 17, 2018

About bukuku

Check Also

IMG_5910

MAZOEZI YA PAMOJA YA MAJESHI YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAMEWAPA UTAYARI WA KUKABILIANA NA MAJANGA MBALIMBALI

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi akizungumza wakati akifunga kufunga …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

19 − twelve =