Wednesday , November 14 2018

Home / MCHANGANYIKO / MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA KISASA NYAMANZI VISIWANI ZANZIBAR WAZINDULIWA

MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA KISASA NYAMANZI VISIWANI ZANZIBAR WAZINDULIWA

DSC_1458

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo,[Picha na Ikulu]. 18Aug 2018.

DSC_1486

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipotembelea Nyumba ya Bw.Khalil Din ikiwa ni miongoni mwa Nyumba Sitini  zilizokabidhiwa wakati wa  Uzinduzi wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo,[Picha na Ikulu]. 18Aug 2018.

DSC_1452

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maopinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi hati ta Nyumba kwa Bibi Yasmin Din na Mumewem Khalil Din wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo,[Picha na Ikulu]. 18Aug 2018.

DSC_1399

Miongoni mwa Nyumba za Kisasa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”  ambazo leo  jumla ya Nyumba 60 zimekabidhiwa katika sherehe za uzinduzi rasmi uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) [Picha na Ikulu]. 18Aug 2018.

DSC_1534

Wananchi waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi  wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake,[Picha na Ikulu].18/08/2018.

About regina

Check Also

index

Uzalishaji wa Pamba Nchini Wafikia Tani 221,600

Na Jacquiline Mrisho Katika Mwaka wa Fedha 2018/19, uzalishaji wa zao la pamba umefikia tani …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

two × one =