Monday , September 24 2018

Home / MCHANGANYIKO / RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI DADA YAKE ALIYELAZWA KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO

RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI DADA YAKE ALIYELAZWA KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO

1

Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Dada yake Monica Joseph Magufuli ambaye amelazwa katika Chumba cha uangalizi Maalum ICU katika hospitali ya Bugando mkoani Mwanza. Picha na Ikulu

3

About bukuku

Check Also

MATEI-1

AMUUWA NDUGUYE KISA REDIO YA 15,000

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei MKAZI wa Kijiji cha Kasisi wilayani Chunya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

twenty − one =