Wednesday , April 24 2019

Home / MCHANGANYIKO / RC MAKONDA ANOGESHA TAMASHA LA BURUDANI LA ‘KOMAA CONSERT 2018’ LILILOANDALIWA NA EFM

RC MAKONDA ANOGESHA TAMASHA LA BURUDANI LA ‘KOMAA CONSERT 2018’ LILILOANDALIWA NA EFM

efm-1

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akihutubia maelfu ya wananchi waliofika kwenye tamasha kubwa la burudani nchini ‘Komaa Cnsert 2018’ lililoandaliwa na kituo cha utangazaji cha EFM/TV E lililofanyika leo tarehe 18 Agosti, 2018.

efm-2

Wananchi wakimshangilia Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda wakati akihutubia kwenye tamasha kubwa la burudani nchini ‘Komaa Cnsert 2018’ lililoandaliwa na kituo cha utangazaji cha EFM/TV E lililofanyika leo tarehe 18 Agosti, 2018.

About regina

Check Also

4-4

SERIKALI YAWAJAZA MAPESA BILIONI 688 WAKANDARASI WA MRADI WA UMEME WA RUFIJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James akimkabidhi Katibu Mkuu wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

15 − 5 =