Monday , September 24 2018

Home / MCHANGANYIKO / WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT), TAASISI YA SEKTA BINAFSI TANZANIA (TPSF) NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN HAPA NCHINI JIJINI DAR ES SALAAM.

WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT), TAASISI YA SEKTA BINAFSI TANZANIA (TPSF) NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN HAPA NCHINI JIJINI DAR ES SALAAM.


Waziri
wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina kushoto akipokea zawadi ya mtungi wa kiasili
kutoka kwa Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida mara baada ya
kufanya mazungumzo katika ofisi ndogo ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi
jijini Dar es Salaam leo. Picha na Mpiga Picha Wetu.

Waziri
wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akisisitiza jambo wakati akizungumza
na watendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kuhusu mchango
wa sekta binafsi katika maendeleo ya sekta za mifugo na uvuvi
alipowatembelea ofisini kwao Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi
wa TPSF, Godfey Sembeye. Picha na Mpiga Picha Wetu

Waziri
wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Florens Luoga
(kushoto) na Naibu Gavana wa Benki Kuu anayeshughulikia Uchumi na Fedha,
Dk. Yamungu Kayandabila mara baada ya kufanya mazungumzo na watendaji
wakuu wa benki hiyo alipowatembelea ofisini kwao Dar es Salaam.

Waziri
wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (kulia) akifurahia jambo na Gavana wa
Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Florens Luoga (kushoto) mara baada ya
mazungumzo yaliyofanyika makao makuu ya BOT Dar es Salaam . 
 

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (kulia) akiagana na Balozi wa
Japan nchini, Masaharu Yoshida mara baada ya kufanya mazungumzo katika
Ofisi ndogo za Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dar es Salaam

About regina

Check Also

MATEI-1

AMUUWA NDUGUYE KISA REDIO YA 15,000

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei MKAZI wa Kijiji cha Kasisi wilayani Chunya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

5 + 7 =