Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / August / 19

Daily Archives: August 19, 2018

DKT. BASHIRU: CCM INAIMARIKA

Copy of IMG_0217

NA IS-HAKA, ZANZIBAR. KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Dk.Bashiru Ally amesema CCM inaendelea kuimarika na hakuna Chama chochote cha kisiasa nchini kinachoweza kushindana nacho katika uringo wa siasa za ushindani wa sera za maendeleo kwa wananchi wa makundi yote. Kauli hiyo aliitoa mara baada ya kuwasili kisiwani …

Read More »

Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma Aongoza Ujumbe wa Zanzibar Katika Mkutano wa 49 Mabunge Wanachama Nchi za Jumuiya ya Madola Unaofanyika Nchini Botswana.

NAIBU Z

  Makamu wa Rais wa Botswana Mhe Slumber Tsogwane akipata picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Tendaji na viongozi mashuhuri huko Gaborone Botswana.   Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar akibadilishana mawazo na Mhe Maria Ndilla Kangoye ambae ni Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Kanda ya Afrika na pia …

Read More »

Maugo amchapa Mmalawi, Class amnyamazisha Mazola kwa TKO

2 (28)

Bondia Mada Maugo (kulia) akirusha konde kwa Charles Misanjo wa Malawi katika pambano la kimataifa la uzito wa Super Middle lililofanyika kwenye ukumbi wa PTA juzi. Maugo alishinda kwa pointi. Ngumi ni mchezo, lakini ni hatari sana! Bondia Baina Mazola akiuguliwa baada ya kuchanwa na Ibrahim Class katika pambano la …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AONDOKA NAMIBIA KUREJEA NYUMBANI

08 (1)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Elimu ya Juu , Mafunzo na Ubunifu wa Namibia Mhe. Dkt. Itah Kandjii-Murangi  muda mfupi kabla ya kupanda ndege katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako tayari kwa safari ya kurudi Tanzania mara …

Read More »

WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT), DKT HUSSEIN MWINYI KUKABIDHIWA UKUTA UNAOZUNGUKA UWANJA WA NDEGEVITA WA JWTZ KESHO TAREHE 20 AGOSTI

dogoli

Kikosikazi kilichokuwa kikijenga ukuta unaozunguka uwanja wa ndegevita ulioko Ngerengere Mkoani Morogoro kesho tarehe 20 Agosti, 2018 kitakabidhi rasmi ukuta huo kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano JWTZ, Kanali Ramadhan Dogoli. Taarifa hiyo inaeleza kuwa,  mgeni rasmi wakati …

Read More »

Unlock Castle Lite yawafikia Kawe na Sinza

CASTLE 7

Burudani za Unlock Castle Lite zikiendelea ni mambo ya zawadi na kata mti panda mti Baadhi ya wafanyakazi wa TBL ndani ya promosheni hiyo Burudani za Unlock Castle lite  zikiendelea Burudani za Unlock Castle lite  zikiendelea. Meneja wa Chapa ya Castle akiongea na mteja katika baa ya Jambo iliyopo Kawe …

Read More »

KERO ZA ARDHI TABORA ZITATATULIWA NA WAZIRI WA ARDHI -MAJALIWA

PMO_0928

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kiwanja cha Chipukizi katika Manispaa ya Tabora, Agosti 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta  na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Tabora, Hassan Kasubi katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye kiwanja cha Chipukizi katika …

Read More »

ECLAT FOUNDATION YAKABIDHI SHULE KWA SERIKALI

IMG-20180819-WA0019

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Tamisemi (Elimu) Toxin Nzunda na Mwenyekiti wa shirika la ECLAT Foundation Peter Toima wakinyanyua juu hati ya makabidhiano ya shule mpya ya msingi Ormotoo ya Kijiji cha Loiborsoit A Kata ya Emboreet Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Tamisemi (Elimu) Toxin Nzunda …

Read More »

SIMBA ILIVYOTWAA NGAO YA JAMII KWA MARA MBILI MFULULIZO.

simba

Klabu ya Simba jana ilifanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa mara mbili mfululizo baada ya kuichapa Mtibwa Sugar mabao 2-1 katika mechi iliyopigwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza. Mshambuliaji Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere alianza kuifungia Simba dakika ya 29 kwa shuti kali kutokea pembezoni mwa …

Read More »

DK.BASHIRU AWAPIGA MSASA VIJANA 1560.

IMG_4847

KATIBU Mkuu wa CCM Tanzania Dk.Bashiru Ally akizungumza na makundi mbali mbali ya Vijana katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Mjini uliopo Amani Unguja. NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla (Mabodi) akizungumza kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Dk.Bashiru azungumze na vijana hao. MAKAMU Mwenyekiti wa …

Read More »