Monday , February 18 2019

Home / 2018 / August / 20

Daily Archives: August 20, 2018

TFF YAMPA POLE MHE.DKT. RAIS DK MAGUFULI KWA KUFIWA NA DADA YAKE

RAIS MAGUFULI

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amepokea kwa majonzi makubwa kifo cha dada wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Dkt John Pombe Magufuli Bi.Monica Joseph Magufuli aliyefariki jana Agosti 19,2018 katika Hospitali ya Bugando,Mwanza alikokuwa akipatiwa matibabu. Rais …

Read More »

RONALDO KUCHUANA NA SALAH, MODRIC TUZO YA ULAYA

4F3C94CB00000578-6078887-image-a-58_1534772834134

  Cristiano Ronaldo atashindana na Mohamed Salah na Luka Modric kuwani tuzo ya Mwanasoka Bora Ulaya PICHA ZAIDI SOMA HAPA  WASHINDI WALIOPITA  2011 – Lionel Messi 2012 – Andres Iniesta 2013 – Franck Ribery 2014 – Cristiano Ronaldo 2015 – Lionel Messi 2016 – Cristiano Ronaldo 2017 – Cristiano Ronaldo    NYOTA Mohamed Salah, Cristiano Ronaldo na Luka Modric …

Read More »

CASTLE LITE YANOGESHA TAMASHA LA MUZIKI LA STR8UP JIJINI DAR

KAWE 1

Wakazi wa vitongoji mbalimbali vya jiji la Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki wakipata burudani moto moto ya muziki katika tamasha la muziki lililoandaliwa na kampuni ya masuala ya burudani ya STR8UP na kufanyika katika ukumbi wa Velisas-Kawe, chini ya udhamini wa bia ya Castle Lite. Meneja wa Mawasiliano ya …

Read More »

POLISI KILIMANJARO YANASA KILOGRAMU 520 ZA MIRUNGI

IMG_6145

Mtuhumiwa wa usafirishaji wa Dawa za kulevya aina ya Mirungi akiwa kwenye gari la Polisi ba Viroba vilivyojaa Dawa hizo zilizokamatwa katika moja Bonde mpakani mwa Kenya na Tanzania. Asakari Polisi wakishusha viroba vyenye Dawa za Kulevya aina ya Mirungi. Mtuhumiwa wa usafirishaji wa Dawa za kulevya aina ya Mirungi,Samwel …

Read More »

TANZANIA NA UGANDA ZINATARAJIA KUSAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) KUHUSU UENDELEZAJI WA BOMBA LA KUSAFIRISHA GESI ASILIA

ngao

Tanzania na Uganda zinatarajiwa kusaini  Mkataba wa Makubaliano (MoU) kuhusu uendelezaji wa Bomba la kusafirisha gesi asilia litakaloanzia hapa nchini na kuishia Uganda na makubaliano ya kushirikiana katika masuala ya elimu na mafunzo (Education and Training). Uwekaji saini wa MoU hizo utafanyika katika Mkutano wa Pili wa Tume ya Kudumu …

Read More »

VIDEO:SERIKALI YATATUA MGOGORO ULIODUMU KWA TAKRIBANI MIAKA 33

Pix 01

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari na wasanii wa kuchonga vinyago (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 33 katika eneo la vinyago Mwenge. Katikati ni  Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa nchini …

Read More »

DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA BURUNDI NCHINI TZ

DSC_2237

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Gervais Abayeho alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akizungumza na Balozi wa Burundi …

Read More »

Tanzania kuendelea kuhimiza Maendeleo Ya Viwanda

1

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) Dkt. Tausi Kida (kushoto) akimuonyesha Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uwekezaji wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Aristide Mbwasi aliyemwakilisha Katibu Mkuu Viwanda wa Wizara hiyo Bw. Joseph Simbakalia Sera ya viwanda endelevu: Mchango wa mabadiliko ya tabia …

Read More »

Rotary Dar Marathon Yaadhimisha Miaka Kumi Ya kubadilisha Maisha

5b

Mwenyekiti wa bodi ya Rotary Dar Marathon, Sharmila Bhatt akizungumza wakati wa hafla ya kutangaza maandalizi ya mbio na matembezi ya hisani ya Rotary Dar iliyofanyika wikiendi hii jijini Dar es salaam. Mashindano hayo yanatarajia kutimua vumbi, Oktoba 14 mwaka huu. Rotary Dar Marathon inatarajia kuwavutia washiriki 16,000 kwa mwaka …

Read More »

WAZIRI AENDA HOSPITALI KUJIFUNGUA KWA KUTUMIA BAISKELI

waziri gumzo

WAZIRI wa Masuala ya Wanawake nchini New Zealand, Julie Genter  ameendesha baiskeli kutoka nyumbani kwake hadi hospitalini kwa ajili ya kujifungua. Genter hivi karibuni alipoandika katika ukurasa wake wa Instargram, kwamba alichukua uamuzi huo kutokana na kukosa nafasi ya kutosha ndani ya gari. Katika safari hiyo aliambatana na mwenza wake …

Read More »