Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / August / 21

Daily Archives: August 21, 2018

WAZIRI UMMY MWALIMU ATOA TAMKO KUHUSU TAHADHARI YA UGONJWA WA HOMA YA EBOLA ULIOTOKEA KATIKA NCHI JIRANI YA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO

ebola+pic

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watooto Umm Mwalimu akizungumza wakati akitoa taarifa kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusia na ugonjwa wa Ebola Kushoto ni Naibu Waziri Dk. Faustine Ndugulile. ……………………………………………………………….. Manamo tarehe 10/08/2018 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, …

Read More »

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA MAMIA YA WAKAZI WA CHATO KATIKA MAZISHI YA DADA YAKE MAREHEMU MONICA MAGUFULI YALIYOFANYIKA CHATO MKOANI GEITA

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wakati wakitoa heshma za mwisho katika jeneza lenye mwili wa Marehemu Dada yake Monica Magufuli nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. …

Read More »

WAJUMBE KAMATI ZA BUNGE ZA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA, MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA NA KATIBA NA SHERIA NDOGO WAJENGEWA UELEWA KUHUSU DHANA YA MISWADA ITAKAYOJADILIWA BUNGENI KATIKA MKUTANO WA BUNGE LA KUMI NA MBILI.

V25A4873

Katibu kamati wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Ndg. Chacha Nyakega akizungumza na Baadhi ya Wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa semina ya kuwajengea uelewa Wabunge …

Read More »

Idadi ya Wagonjwa waliopandikizwa Figo Muhimbili yafikia 19

003

Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Muhimbili Dkt. Hedwiga Swai( katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo, kuhusu maendeleo ya upandikizaji figo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, kushoto ni Daktari bingwa upasuaji wa mfumo wa mkojo Njiku Kim , kulia ni Daktari bingwa wa magonjwa ya figo Onesmo Kisanga. Daktari Bingwa …

Read More »

POLISI WAJIPANGA KWA SIKUKUU YA EID ARUSHA

ng'azi

Na Ahmed Mahmoud Arusha Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Naibu kamishna wa polisi Ramadhan Ng’anzi amesema kuwa jeshi hilo limejipanga kuhakikisha waislamu wanasherehekea sikukuu ya Eid el Hajj kwa amani na utulivu bila yeyote kumbuguzi mtu leo.   Ametanabaisha kuwa sherehe hii ipo kwenye utaratibu wa dini nasi ya kufanyia …

Read More »

MARAIS WASTAAFU KUUNGANA NA RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA MAZISHI YA DADA YAKE MAREHEMU MONICA JOSEPH MAGUFULI WILAYANI CHATO LEO

mi10

Viongozi mbalimbali wakiwemo Marais Wastaafu pamoja na viongozi kutoka nje ya nchi wameendelea kupokelewa kwenye uwanja wa Ndege wa Mwanza wakielekea Mkoani Geita wilaya ya Chato kwa ajili ya kushiriki katika mazishi ya Dada wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli Marehemu Monica Jospeh Magufuli …

Read More »

MANZESE UNITED YAKABIDHI KOMBE KWA MEYA WA UBUNGO

meya

Meya wa Manispaa ya Ubungo. Mhe. Boniface Jacob akizungumza kabla ya kukabidhiwa kombe na  Mabingwa wa Mashindano ya Mpira wa Miguu yanayoandaliwa na CLOUDS MEDIA GROUP  ‘Ndondo CUP’  Manzese United.  Meya wa Manispaa ya Ubungo. Mhe. Boniface Jacob akizungumza kabla ya kukabidhiwa kombe na  Mabingwa wa Mashindano ya Mpira wa Miguu yanayoandaliwa na CLOUDS MEDIA GROUP  ‘Ndondo …

Read More »