Monday , February 18 2019

Home / 2018 / August / 23

Daily Archives: August 23, 2018

ZANTEL YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAZEE ZANZIBAR

ZANTEL 5

Mmoja wa wazee akipokea msaada wa chakula kutoka kwa mkuu wa Zantel Zanzibar,Mohammed Khamis Mussa (Baucha) Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohammed Khamis Mussa (Baucha)akiongea wakati wa hafla ya kutoa msaada wa chakula kwa wazee. Mkurugenzi wa Ustawi wa jamii Zanzibar,Ally Suleiman Abeid, akiongea wakati wa hafla hiyo. Baadhi …

Read More »

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MTIBWA SUGAR LIGI KUU TANZANIA BARA

YANGA

Mechi ya ligi Kuu Tanzania Bara Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar Muda ni saa 12:00 jioni Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam 1-Benno Kakolanya 2-Juma Abdul 3-Gadiel Michael 4-Andrew Vicent Dante 5-Kelvin Yondani 6-Abdalah Shaibu Ninja 7-Deusi Kaseke 8-Papy Tshishimbi 9-Heriter Makambo 10-Feisal Salum Fei Toto 11-Mrisho Ngassa SUBs …

Read More »

UN WOMEN KUENDELEA KUTOA MSAADA KWA WANAWAKE TANZANIA

un

 Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Wanawake (UN Women), Phunzile Mlambo- Ngcuka, akisalimiana na wanawake wajasiriamali baada ya kuwasili viwanja vya Soko la Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam juzi kwenye sherehe ya mafanikio ya mradi wa ‘Mpe Riziki si Matusi’ ambapo alikuwa ni mgeni rasmi. Kushoto kwake ni Mkurugenzi …

Read More »

AJALI YA WANAFUNZI YAUA MMOJA NA KUJERUHI KUMI MWANZA

Kamanda-wa-Polisi-Mkoa-wa-Mwanza-Ahmed-Msangi

MTU mmoja amepoteza maisha na kumi wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili yanayobeba wanafunzi baada ya kugongana. Taarifa hiyo imetolewa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza ambayo iko hapo chini. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA   TELEGRAMS:   POLISI,                                                …

Read More »

MOTISHA YA IGP KWA ASKARI YAMUIBUA GIDABUDAY

JC9A2285

Katibu wa Mkuu wa Shirikisho la Riadha nchini Bw. Wilhelmi Gidabuday akitoa pongezi zake kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha baada ya kuonyesha nia ya kuwajali askari wanamichezo katika hafla iliyofanyika jana usiku katika ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi uliopo jijini hapa. (Picha na Rashid Nchimbi wa Polisi …

Read More »

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA NBS

001

Baadhi ya Wabunge ambao ni wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kuhusu majukumu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakati wa ziara yao waliyoifanya katika Makao Mkuu ya NBS Jijini Dodoma. KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeridhishwa na utendaji …

Read More »

BOB WINE AACHIWA HURU NA MAHAKAMA YA KIJESHI, AKAMATWA TENA

bob

MBUNGE wa Kyadondo, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine ameondolewa mashtaka ya umiliki haramu wa silaha yaliyokuwa yanamkabili mahakama ya kijeshi nchini Uganda. Baada ya kufutiwa mashtaka na mahakama ya kijeshi Uganda na kuwa huru, Bobi Wine amekamatwa tena.  Inaarifiwa kwamba anatarajiwa kushtakiwa katika mahakama ya hakimu mkuu kujibu mashtaka …

Read More »

Tigo Pesa yatoa Riba ya TSH 2.35 Billion kwa Wateja

Tigo-Pesa

Tigo Pesa yatoa Riba ya TSH 2.35 Billion kwa Wateja Yatoa Riba  ya Robo ya pili ya Mwaka Kutoka Kwenye Akaunti Za Wateja wa Tigo Pesa.   Dar es Salaam, 23 Agosti 2018: Wateja wa mtandao unaongoza kwa maisha ya kidigitali nchini, Tigo Tanzania ambao wamejisajili  na huduma ya kifedha …

Read More »

VICHAKA VYA ITIGI ‘ITIGI THICKETS’ HATARINI KUTOWEKA

3

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akisalimiana na Bw. Khatib Ally mmoja wa wananchi waliojitokeza kumpokea katika Kijiji cha Aghondi Wilayani Manyoni, Mkoani Singida. Waziri Makamba ametembelea eneo hilo ambalo lina vichaka vya aina yake na vyakipekee barani Afrika. Wananchi wa eneo …

Read More »

Kabeho asisitiza wazazi kuwaandikisha watoto shule

IMG_0072

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Charles Kabeho akizungumza na wananchi wakiwemo wanafunzi alipokuwa akikagua miradi ya maendeleo wilayani Kishapu. Na Robert Hokororo, Ofisi ya Mkurugenzi Kishapu Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Charles Kabeho amewasisitiza wazazi kuwaandikisha watoto wao shule ili wapate elimu itakayowasaidia katika mazingira …

Read More »