Tuesday , March 26 2019

Home / 2018 / August / 24

Daily Archives: August 24, 2018

54 WATUNUKIWA NYETI VYA UFANYAKAZI BORA MUHIMBILI

JPEG vyeti 04

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) Prof. Lawrence Museru (Katikati) akizungumza na baadhi ya watumishi wa MNH katika hafla fupi ya kuwatunuku vyeti wafanyakazi bora  wa hospitali hiyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Rasilimali watu na utawala Bwn. Makwaia Makani, kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi Bwan. Mziwanda Salum …

Read More »

RAIS GEORGE WEAH AMTUNUKU ARSENE WENGER

george

Rais wa Liberia George Weah amemtuza aliyekuwa meneja wa Arsenal, Arsene Wenger katika hafla iliyofanyika leo kwenye mji wa mkuu wa nchi hiyo, Monrovia. Rais Weah amempa tuzo ya heshima na ya hadhi ya juu zaidi inayotolewa nchini Liberia. Wenger alikuwa kocha wa kwanza wa Rais George Weah kwenye klabu …

Read More »

WADAU WAJITOKEZA KUTOA MAONI YAO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MAREKEBISHO YA SHERIA MBALIMBALI WA MWAKA 2018 KWENYE KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA

KAMATI 4

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mheshimiwa Dkt. Damas Ndumbaro akifafanua jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kamati hiyo leo ilikuwa inapokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na. 2) wa mwaka …

Read More »

WAZIRI ABOUD AZINDUA RIPOTI YA TAKWIMU YA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI WA BINADAMU KWA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MAENDELEO KUSINI MWA AFRIKA (SADC), LEO JIJINI DAR ES SALAAM

PIX 1

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (SMZ), Mohamed Aboud Mohamed (aliyeshika mkasi), akizindua Ripoti ya Takwimu ya Biashara Haramu ya Usafirishaji wa  Binadamu kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), wakati wa kuhitimisha warsha iliyozikutanisha nchi 16, uliokuwa na lengo la Kupambana …

Read More »

TAARIFA YA ZIARA YA KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WORLD METEOROLOGICAL ORGANISATION – WMO) PROF. PETTERI TAALAS KATIKA OFISI ZA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA TAREHE 22 AGOSTI, 2018

BLOG 1

Katibu Mkuu wa WMO Prof Petteri Taalas akipata maelezo kutoka kwa mtaalamu wa hali ya hewa kutoka TMA Bw. Chuki Sangalugembe kuhusiana na mtambo mkubwa wa kompyuta (Computer Cluster) namna unavyosaidia katika uandaaji wa taarifa za hali ya hewa. Katibu Mkuu wa WMO Prof Petteri Taalas akipata maelezo kutoka kwa …

Read More »

Hosipitali za Wilaya 67 Kujengwa Mwaka Huu wa Fedha

1

Sehemu ya Vifaa vya Kisasa vya Upasuaji kama vinavyoonekana katika moja ya vituo vya afya vilivyojengwa na Serikali ya Awamu ya Tano. Wataalamu wa afya wakikagua sehemu ya vifaa tiba vipya  katika moja ya Kituo cha afya kilichojengwa na Serikali ya Awamu ya Tano. (Picha zote na OR- TAMISEM ……………………. …

Read More »

Wanahabari Watakaoshiri Mkutano wa Ushirikiano wa China na Nchi za Afrika Utakaofanyika Septemba, 2018 Jijini Beijing Nchini China

IMG_9160

Balozi wa China nchini Tanzania, Bi.Wang Ke akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) waliopata fursa ya kwenda kushiriki mkutano wa ushirikiano wa China na Nchi za Afrika utakaofanyika kuanzia mwezi Septemba 2018 katika jiji la  Beijing China. Mkrugenzi Mkuu Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

MATEI-1

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya mnamo tarehe 21/08/2018 limewafikisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Jijini Mbeya watuhumiwa nane [08] kutokana na kosa la uhujumu uchumi kesi namba ECO/13/2018. Watuhumiwa waliofikishwa Mahakamani ni pamoja:- BOSCO TAYARI [55] DAMAS RICHARD [25] HADI MWINUKA [38] NICOLAUS AMAN [20] ELIA JACKSON [50] MAJUTO MUSA …

Read More »

LYANGA-TUNAWASAKA WAFUGAJI AINA YA KIBARABAIG AMBAO WAMEHUSIKA KUJERUHI WATU SITA ,KONDO MWILANZI HUKO MKURANGA

IMG-20180823-WA0016

NA MWAMVUA MWINYI, MKURANGA KAMANDA wa kanda ya kipolisi Rufiji,mkoani Pwani, Onesmo Lyanga ,amesema wanawatafuta wafugaji aina ya Kibarabaig ,ambao walitoroka na mifugo yao ,mara baada ya kuwajeruhiwa watu sita ,kijiji cha Kondo Mwilanzi ,kata ya Bupu wilayani ,Mkuranga, mkoani Pwani . Aidha alieleza ,thamani na ukubwa wa mashamba yaliyoharibiwa …

Read More »

WAZIRI MKUU WA AUSTRALIA, MALCOM TURNBULL ANG’OLEWA MADARAKANI

mal

WAZIRI Mkuu wa Australia, Malcom Turnbull anatarajiwa kung’olewa madarakani  baada ya kutimuliwa kwa lazima na chama chake. Chama cha Turnbull  hakikupitisha jina lake katika kura ya maoni kuelekea uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni nchini humo. Scott Morrison anatarajiwa kushikilia wadhifa wa Turnbull baada ya kushinda kwa kura 45 kati ya …

Read More »

MIFUMO YOTE YA HUDUMA ZANZIBAR KUWA KIDIGITALI (E-ID CARD)

Screen Shot 2018-08-23 at 6.14.14 PM

Baadhi ya Vituo vya Usajili vinavyokamilishwa kila kila wilaya ya Unguja na Pemba Mifumo mipya iliyofungwa ili kuhifadhi kumbukumbu kisasa (kidigitali). Baadhi ya Vifaa vilivyoko ndani ya vituo vipya. Baadhi ya Vifaa vilivyoko ndani ya vituo vipya . Jengo jipya ambapo Ofisi kuu ya Wakala wa usajili wa matukio ya …

Read More »