Monday , February 18 2019

Home / 2018 / August / 25

Daily Archives: August 25, 2018

ARSENAL YAFUFUKA EPL,YAICHAKAZA 3-1 WEST HAM

4F63C38700000578-6097709-image-m-22_1535214867801

Danny Welbeck akifumua shuti kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya mwisho katika ushindi wa 3-1 dhidi ya West Ham United Uwanja wa Emirates, London. Mabao mengine ya Gunners yamefungwa na Nacho Monreal dakika ya 30 na Issa Diop aliyejifunga dakika ya 70, wakati la WHU limefungwa na Marco Arnautovic …

Read More »

COASTAL UNION,SINGADA UNITED ZANG’ARA LIGI KUU TANZANIA

maxresdefault

Na Mwandishi Wetu, TANGA TIMU ya Coastal Union  ya Tanga imepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Biashara United ya Mara Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga. Ushindi huo wa kwanza kwa timu kipenzi cha Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace …

Read More »

TANZANITE KUWA NA HATI YA UTAMBULISHO KIMATAIFA

2 (2)

Afisa Madini Mkazi wa Mirerani, Mhandisi David Ntalimwa, akieleza jambo wakati akiwasilisha mada kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini. Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Ushauri na Uchambuzi wa Kazi   kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Nolasco Kipanda, akiwasilisha mada kuhusu Muundo na …

Read More »

ABDUL MTEKETA: NIMEFIKA DARAJA LA MAGUFULI KABLA SIJAFA

abdul

Abdul Mteketa akiwa katika daraja la Magufuli leo hii Abdul Mteketa akiwa katika daraja la Magufuli leo hii Na. Mwandishi Wetu -KILOMBERO MBUNGE wa zamani wa Kilombero, Abdul Mteketa (CCM), ametimiza azma yake ya kutembelea daraja jipya la Magufuli lililopo Wilayani Kilombero mkoani Morogoro. Akizungumza leo baada ya kutembelea daraja …

Read More »

Uchukuzi SC yaahidi kuendeleza ubabe SHIMIWI

DSC_0362

Mkurugenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Bw. Paul Rwegasha akimwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela katika michezo ya bonanza la uzinduzi wa mazoezi ya michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI), lililofanyika leo kwenye viwanja …

Read More »

AMUUA MKEWE KWA WIVU WA KIMAPENZI NA KUJINYONGA WENYEWE.

1 (1)

Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Tabora Bosco Nduguru akitoa ufafanuni kwa Madiwani leo juu hatua ambazo wameanza kuzichukua katika kuhakikisha wanafuta hoja ya masurufu yenye thamani ya milioni 84 ambayo hajafanyiwa marejesho na watumishi wa Halmashauri hiyo. NA TIGANYA VINCENT RS TABORA   Mkazi wa Kijiji cha Ikongoro wilayani Uyui …

Read More »

Maafisa Habari Watekeleze Wajibu Wa Kutoa Habari kwa Umma

hassan-abbas

Na Grace Semfuko-MAELEZO Msemaji  Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amewataka Maafisa Habari Nchini kufanya kazi zao kwa kufuata sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 ambayo inawapa fursa Waandishi wa Habari kupata,kuhariri na kurusha habari kwa wananchi ili waweze kuelewa maendeleo ya nchi yao. Ameyasema hayo wakati akizungumza …

Read More »

RMO KAGERA ATAMANI MAGUFULI AONGOZE MILELE

rmo

   Mganga Mkuu wa  Mkoa wa Kagera, Marko Mbata, akizungumza na waandishi wa habari mjini Bukoba mkoani Kagera jana, kuhusu kuhimarika kwa upatikanaji wa dawa mkoani humo ambapo alisema anatamani Rais Magufuli aendelee kuongoza nchi milele.  Mfamasia wa mkoa huo, Pyuza Daniel akizungumza kwenye mkutano huo.   Na Dotto Mwaibale, …

Read More »

NEC YATANGAZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA LIWALE

kaija

Idara ya Habari-NEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Liwale Mkoa wa Lindi, kufutia kujiuzulu kwa alieyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Ndugu. Zuberi Mohamed Kuchauka. Kujiuzulu kwa Mbunge huyo ambaye alijiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) kunamfanya …

Read More »

VIDEO:Afisa Wa Serikali Afanya Hip-Hop Kuonyesha Njia

Kiheka Charles

Afisa utamaduni wa Manispaa ya Sumbawanga, Mkoani Rukwa Charles Kiheka a.k.a K Chars ametoa kibao chake cha muziki wa hip-hop ili kuonyesha jamii uwezo alionao katika fani hiyo.na kuwaonyesha njia vijana wanaochipukia katika sanaa.  Afisa huyo amesema kuwa kutoa kwake wimbo huo ni kudhihirisha wazi kuwa maafisa utamaduni Tanzania nzima …

Read More »