Monday , December 10 2018

Home / 2018 / August / 26

Daily Archives: August 26, 2018

BREAKING NEWS: MAMA MZAZI WA SUGU AFARIKI DUNIA

Capture

Taarifa zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kwamba mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu), amefariki dunia asubuhi ya leo, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kwenye wodi ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU) alikokuwa akitibiwa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Msemaji wa Hospitali ya Muhimbili, Aminiel Eligaesha, …

Read More »

DC MURO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA

1

Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mh.Jerry Muro amefanya ziara ya kushtukiza katika baranara ya mchepuko Arusha Bypass katika eneo la muungano Makumira na kubaini uwepo wavitendo vinavyoashiria ukiukwaji wa taratibu za kazi na haswa katika kazi zinazofanywa na RAIA kutoka nje. Mh Muro Pamoja nakuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa …

Read More »

Morogoro yafana baada ya kushinda gari la nane la M-Pesa

6

Mstahiki Meya wa Mji wa Morogoro Paschal Kihanga Mwendashule (Kushoto) akimkabidhi funguo ya gari bi Glory Lyatuu kutoka Morogoro baada ya kuibuka mshindi wa nane wa promosheni ya Tumia M-Pesa ushinde gari, mteja wa M-Pesa anatakiwa kufanya miamala mingi zaidi ili kuweza kujishindia gari. Mkuu wa kitengo cha usambazaji M-Pesa …

Read More »

PATO LA MKOA WA PWANI,LAONGEZEKA MWAKA HADI MWAKA-RC NDIKILO

SAM_3307

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI PATO la mkoa wa Pwani linazidi kuongezeka, mwaka hadi mwaka ,kuanzia 2015 ambapo lilikuwa sh.mil.15.63, mwaka 2016 mil 17.54 na mwaka 2017 limepanda na kufikia sh.mil 20.09. Mkuu wa Mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo alisema akieleza kuhusu mafanikio yaliyopatikana katika sekta muhimu kimkoa ,hawezi kuacha kuelezea …

Read More »

Gidabuday Awaasa Wahitimu Darasa La Saba Mkuranga

GIDA 1

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Wilhelm Gidabuday, akimkabidhi cheti cha Uongozi Bora ‘Best in Leadership’ mhitimu wa darasa la saba, Semlin James, wakati wa mahafali ya 10 White Angels Pre and Primary School, Mkuranga mkoani Pwani, juzi. Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Wilhelm Gidabuday, …

Read More »

CHITENI SC YATANGAZA WAKALI WAO NGAZI YA MAKUNDI MKOANI TANGA

IMG-20180819-WA0019

Baadhi ya wachezaji, viongozi na wazee wa klabu ya Chiteni Sports Club, ya Komsala, Handeni Tanga, wakifurahia baada ya kutinga makundi hivi karibuni katika Uwanja wa Jitegemee, wilayani Muheza mkoani Tanga. Timu hiyo kwa sasa inasubiri ratiba ya makundi kutoka ili kuwania nafasi ya kuwa Bingwa wa mkoa wa Tanga. …

Read More »

JOHN McCAIN:SENETA ALIYEGOMBEA URAIS NA OBAMA AFARIKI DUNIA

_103175172_ca65a052-8b59-4cbf-b0b4-a7ce77ed13fe

SENETA John McCain, shujaa wa vita vya Vietnam aliyehudumu kwa muda mrefu kama seneta nchini Marekani na aliyewahi kuwania urais, amefariki dunia akiwa na miaka 81. McCain, ambaye jina lake kamili ni John Sidney McCain III, alifariki dunia Jumamosi akiwa amezungukwa na jamaa zake, kwa mujibu wa taarifa fupi iliyotolewa …

Read More »

TEMESA KUSIMIKA TAA ZA BARABARANI VISIWANI ZANZIBAR

PIC 3

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Bw. Mustafa Aboud Jumbe kulia na kaimu Meneja wa Kikosi cha Umeme kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Pongeza Semakuwa wakitia saini mkataba wa mradi wa kusanifu, kujenga na kusimika taa za kuongozea magari barabarani zitakazotumia umeme jua …

Read More »

YANGA YAWEKA HADHARANI MICHANGO YA WANACHAMA

pic+kelele

Uongozi wa klabu ya Yanga umeweka bayana mapato ambayo yamepatikana kupitia kampeni ya uchangiaji wa timu. Kiasi cha shilingi 4,464,263 kimepatikana katika makusanyo ya awamu ya pili yaliyoanza agost 11-23 mwaka huu. Wiki ya kwanza kupitia michango hiyo kutoka kwa wanachama na mashabiki wa soka ilipatikana kiasi cha 3,073,263. Yanga …

Read More »

JNIA YAJIDHATITI KUDHIIBITI UGONJWA WA EBOLA

ebola1

Mlango wa kuingilia abiria kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), wanaotoka nje ya nchi ambao baadhi ya ndege zimelengwa kutokana na abiria wake aidha kupita au kuanzia safari kwenye nchi ya Kongo iliyotangazwa kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola. Eneo maalum la ukaguzi wa afya kwa abiria …

Read More »