Thursday , December 13 2018

Home / 2018 / August / 27

Daily Archives: August 27, 2018

Moto Hauzimi Na DStv, Star Life Nyumba Ya Bollywood Sasa Ndani!

Channel-Star-Life-Swa

Moto Hauzimi na DStv, Star Life nyumba ya Bollywood sasa ndani! Kampuni ya Multichoice inajivunia kuongeza chaneli  mpya ya filamu inayojulikana kwa jina la Star Life mahususi kwa ajili ya wapenzi wa filamu  na Tamthilia za kihindi. Chaneli hii yenye maudhui ya kihindi inayorusha matangazo kwa Lugha ya kingereza imeanza …

Read More »

Samia Azitaka Nchi Wanachama AU kutoa Michango

7-1-2-768x537

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla ya kuapishwa kwa majaji wapya watatu wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu mjini Arusha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) ………………. Na Ahmed Mahmoud Arusha Makamu wa …

Read More »

Kampuni Za Bima Zatakiwa kuwageukia Wakulima

DSC_0344

Na Ahmed Mahmoud Arusha Kampuni za Bima nchini zimesisitizwa kuepuka kutoa huduma kimazoea badala yake kutoa huduma ya bima kwa makundi yaliyo sahaulika yakiwemo ya wakulima kwa kutoa mikopo ili kufikia uchumi wa kati .    Kauli  hiyo imetolewa mapema leo Agost 27, jijini Arusha  na Naibu Waziri wa Fedha …

Read More »

AfDB YATEKELEZA MIRADI YA SH. TRLIONI 4.4 NCHINI TANZANIA

6

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kulia, akiagana na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayeiwakilisha Marekani Bw. J. Steven Dowd (wa pili kushoto) Nje ya jengo la Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam. Kulia …

Read More »

DKT. MPANGO AAGIZA MAKONTENA YA MAKONDA YAPIGWE MNADA

AC3A9527

  Kamishna wa Forodha  wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Benny Usaje (kulia), akimwongoza Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) kukagua Kontena  ishirini za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Paul Makonda, zinazodaiwa kodi ya takribani Sh. Bilioni 1.2, zilizopo katika Bandari ya Dar …

Read More »

KILA MKOA KUAGIZA VIFAA VYAKE VYA UMEME

PICHA 1

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudmu ya Bunge ya Wizara ya Nishati, danstan Kitandula ( kushoto) akisikiliza wasilishwaji wa taarifa za utekelezaji wa miradi inayotekelezwa na wizara ya Nishati kwa kushirikiana na taasisi zilizo chini yake. Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani( aliyesimama) akiwasilisha taarifa za utekelezaji wa miradi inayotekelezwa na …

Read More »

CAF YARIDHISHWA NA MAANDILIZI YA AFCON

PMO_8016

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (C)akipokea Bendera ya CAF kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahmad Ahmad baada ya mazungumzo ya kikazi katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam leo Agosti 27/2018.kushoto kwa Waziri Mkuu ni Waziri wa Michezo na Utamaduni Dkt Harisson Mwakembe. Waziri …

Read More »

MAKOSA HAYA KUMNG’OA MASOUD DJUMA SIMBA

Masudi-Djuma-1

  Kocha Msaidizi wa klabu ya Simba, Masoud Djuma muda wowote kuanzia sasa ataachana na klabu ya Simba baada ya Klabu ya Simba Kufikia makubaliano kuvunja mkataba. Taarifa za ndani kutoka bodi ya wakurungezi wa klabu hiyo wamefikia uamuzi huo wa kumuondoa kutokana na kutengeneza mgogoro kati ya wachezaji na …

Read More »

BOB WINE NA WENZAKE WAACHIWA HURU KWA DHAMANA

bobi-wine

Mbunge wa jimbo la Kyadondo nchini Uganda Robert Kyagulanyi  maarufu kama ‘Bob Wine’ na wabunge wengine watatu wameachiwa huru kwa dhamana na Mahakama Kuu mjini Gulu. Uamuzi huo wa mahakama umetolewa leo tarehe 27 Agosti, 2018 na Jaji wa Mahakama Kuu Steven Mubiru . Wabunge hao watatu waliokuwa wakizuiliwa kwa …

Read More »

MKURUGENZI WA KITUO CHA UWEKEZAJI TIC AKEMEA TABIA YA BAADHI YA VIONGOZI WA SERIKALI KUTOA MATAMKO NA MAAGIZO KWA WAWEKEZAJI NCHINI

01

Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji TIC Bw. Godfrey Mwambe akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya ofisi hizo jijini Dar es salaam leo wakati alipozungumzia  kuhusu Viongozi mbalimbali  wa serikali wakiwemo wakuu wa wilaya, Wakurugenzi, Wakuu wa mikoa na Mawaziri wanaotoa matamko kuhusu wawekezaji hapa nchini. Mkurugenzi wa …

Read More »