Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / August / 28

Daily Archives: August 28, 2018

DC MURO AFUNGUA MKUTANO WA WABOBEZI WA UTAFITI

IMG-20180828-WA0148

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Mh. Jerry Muro amefungua mkutano wa wabobezi wa utafiti katika ukanda wa Africa Mashariki ” The Eastern Africa Research and Innovation Management Association, Tanzania Chapter, mapema hii leo. Dc Muro amemuwakilisha Mkuu wa mkoa wa Arusha. Mh. Mrisho Mashaka Gambo Mkuu wa Wilaya …

Read More »

HAWA GHASIA NA MAKAMU WAKE WAJIUZULU

1-5-660x400

MBUNGE wa Mtwara Vijijini (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Hawa Ghasia na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Jitu Soni wamejiuzulu nafasi hizo, leo Jumanne Agosti 28, 2018. Ghasia na Soni ambaye pia ni Mbunge wa Babati Vijijini wametangaza uamuzi wao leo asubuhi mbele ya …

Read More »

KASI YA UJENZI WA JENGO LA TRA PWANI HAIRIDHISHI -RC NDIKILO

IMG_20180828_112108_9

Mkuu wa mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo alipotembelea jengo la idara ya uhamiaji mkoani Pwani ambalo limekamilika kwa gharama ya bilioni 1.6(picha na Mwamvua Mwinyi)  Mkuu wa mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo(kulia) alipotembelea ujenzi wa jengo la CRDB mkoani Pwani ambalo limekamilika kwa gharama ya milioni 900 , …

Read More »

Kuanzia Septemba 5 visimbuzi Kuonesha channeli za ndani bure

TCRA Wadau 2

Na. Immaculate Makilika na Bushiri Matenda- MAELEZO   Serikali imesema kuanzia septemba 5, mwaka huu visimbuzi vitaanza kuonesha channeli zote za ndani bila kutoza gharama yoyote kwa mtazamaji. Akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, kuhusu yaliyozungumzwa katika  kikao kati ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo …

Read More »

Ujumbe wa BOT kukutana na Rais Shein

DSC_4049

Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof Florens D.M Luoga alipofika Ikululu Mjini Zanzibar leo akifuatana na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 28 Aug 2018. Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein …

Read More »

RAIS SHEIN AZINDUA PROGRUM YA PAMOJA ZANZIBAR

DSC_3564

Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) Bw.Alvaro  Rodriguez alipowasili katika viwanja vya  Ukumbi wa Idrisa Abduwakil Mnazi Mmoja mjini Zanzibar leo katika hafla ya Uzinduzi wa PROGRAMU ya Pamoja Zanzibar katika kuleta maendeleo …

Read More »

Waziri Mwakyembe atembelea Global Group

Pix 06

  Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdalah Mrisho (kulia) akimkaribisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe wakati Waziri alipotembelea ofisi za Global Group mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Mhariri wa gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli (kushoto) akimuonesha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, …

Read More »

Songwe,Kigoma, Mwanza yajipanga kudhibiti Ebola

Songwe2

Mmoja wa abiria akikaguliwa na mashine ya mkono, iliyoshikwa na Afisa Afya wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Bw. Peter Maseke, ikiwa ni moja ya njia za kudhibiti wagonjwa wa Ebola wasiingie nchini. Ugonjwa huo umetangazwa hivi karibuni kusambaa nchini Kongo. Afisa Afya wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Bw. …

Read More »

TAFITI ZITOE MATOKEO CHANYA DC MURO

muro

Na Ahmed Mahmoud Arusha Serikali imewataka watafiti katika nchi za jumuiya ya Afrika mashariki kuangalia namna ya kuzipatia matokeo tafiti zinazofanyika katika nchi zao badala ya sasa kuishia kwenye makabati na kushindwa kutoa matokeo chanya. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro kwa niaba ya mkuu wa …

Read More »

UKOSEFU WA UADILIFU ULIITIA DOA SEKTA BINAFSI-MAJALIWA

PMO_8143

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ukosefu wa uadilifu ni moja ya eneo ambalo lilitia doa utendaji wa sekta binafsi hususan pale ambapo ilishirikiana na Serikali. Ameyasema hayo leo (Jumanne, Agosti 28 ,2018) wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 18 wa mwaka wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa niaba ya …

Read More »

Waziri Mwakyembe akutana na Wamiliki wa Televisheni nchini

TCRA Wadau 2

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) akizungumza na wawakilishi wa wamiliki wa televisheni nchini (hawapo pichani) wakati alipokutana nao mapema hii leo jijini Dar es Salaam ili kusikiliza matatizo ya visimbuzi, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), Mhandisi James Kilaba na …

Read More »

Utawala bora chachu ya maendeleo nchini,Waziri Mkuchika

mkuchika

Na; Daudi Manongi -MAELEZO Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Kapt. Mstaafu George Mkuchika amesema kuwa maendeleo yaliyopatikana nchini  yametokana na  Utawala bora unaosimamiwa vyema na Serikali ya awamu ya tano.  Akizungumza katika kipindi cha TUNATEKELEZA kinachorushwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na kuratibiwa …

Read More »

MADIWANI WANNE WA CHADEMA ,MOSHI WAUNGANA NA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA KILIMANJARO KUHAMSISHA MAENDELEO KATIKA KATA YA SHIRIMATUNDA

mwe

  Diwani wa kata ya Shirimatunda katika Manispaa ya Moshi,Fransic Shio (CHADEMA) akizungumza wakati wamkutano wa kata uliolenga kujadili masuala ya maendeleo pamoja na kutambulisha wajumbe wanaounda kamati ya maendeleo ya kata hiyo. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro,Patrick Boisafi akizungumza katika mkutano  wa kata ya Shiriamtunda …

Read More »

TEKNOLOJIA YATUMIKA KUZUIA KIPINDUPINDU

mfumo

NCHI ya Yemen imevumbua mfumo mpya wa kielektroniki kwa ajili ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu. Tangu nchi hiyo kuvumbua mfumo huo wa kompyuta, kasi ya idadi ya watu wanaougua ugonjwa huo nchini humo imepungua. Mfumo huo hufanya kazi ya kutabiri eneo lenye uwezekano wa mlipuko wa ugonjwa …

Read More »