Monday , February 18 2019

Home / 2018 / August / 29

Daily Archives: August 29, 2018

KIKAO CHA USHAURI CHA WILAYA YA PANGANI (DCC) KUJA NA TASWIRA MPYA

index

Mkuu wa Wilaya ya Pangani ameongoza kikao cha Ushauri cha Wilaya(DCC) kikiwa ndio kikao kikubwa kinachojadili na kupanga mipango ya maendeleo ya wilaya kikiunganisha Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Serikali Kuu ikiwakilishwa na Mkuu wa wilaya kama Mwenyekiti Mh.Zainab Abdalah,Katibu Tawala wilaya Mwl.Hassan Nyange,Afisa Tawala wa Wilaya Ndg.Gibson George na …

Read More »

MANGULA AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE MONDULI

DSC_0117

Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM  Jimbo la Monduli, Bw. Julius Kalanga Laizer akisaimiana na wananchi waliofika katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za ubunge jimbo la Monduli uliofanyia leo jimboni humo. Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara akisalimiana na Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Monduli, …

Read More »

Wataalam wa afya kutoka Japan watembelea Muhimbili

JPEG mkutano 01

Wakurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) pamoja na wataalam wa afya kutoka Japan wakijadiliana juu ya utoaji wa huduma bora za afya . Mmoja wa wataalam kutoka  Japan Yoshio Mikamo akielezea ambavyo huduma za afya zinatolewa nchini humo. Wakurugenzi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili wakisikiliza  maelezo yanayotolewa na mtaalam …

Read More »

VIGOGO BENKI YA POSTA WATUPWA JELA MIAKA MITANO.

images

NA TIGANYA VINCENT 29 Aug. 18 TABORA   VIGOGO wawili wa Benki ya Posta Tawi la Tabora na mfanyabiashara mmoja  waliokuwa wanakabiliwa na jumla ya mashitaka saba ikiwemo utakatishaji wa zaidi ya shilingi milioni 700 wametupwa jela miaka mitano au kutakiwa  kulipa faini ya shilingi milioni mia moja (100).   Mbali ya …

Read More »

DAWA YA KUUA VILUILUI ITUMIKE KUTOKOMEZA MARALIA-MAJALIWA

PMO_8459

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa mikoa yote nchini waendeleze kampeni ya kutokomeza ugonjwa malaria kwa kutumia dawa ya kuua viluilui vya mbu.   Ameyasema hayo leo (Jumatano, Agosti 29, 2018) alipofanya ziara katika kiwanda cha kutengeneza dawa ya kuua viluilui vya mbu kilichopo katika wilaya ya Kibaha mkoani …

Read More »

FLYOVER YA TAZARA IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 98-MAJALIWA

PMO_8394

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi, Isack Kamwelwe kuhusu barabara ya  juu ya TAZARA wakati alipokagua hatua za mwisho za ujenzi wa barabara hiyo jijini Dar es salaam Agosti  29, 2018. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul …

Read More »

MTOTO WA CRISTIANO RONALDO AJIUNGA NA KIKOSI CHA WATOTO WA JUVENTUS

ddd69dae-aa51-11e8-90ef-a0ad808c445e_2OW8IFFI2224-kghF-U1120220018837LyH-1024x576@LaStampa.it

Cristiano Ronaldo Junior, mtoto wa mwanasoka nyota duniani, Ronaldo, anayeichezea Juventus, amejiunga na kikosi cha watoto walio chini ya umri wa miaka tisa cha klabu kwa ajili ya mafunzo ya soka yanayojulikana kama  Pulcini 2010. Kwa mujibu wa  Calciomercato ambaye ni  ‘mshikaji’ wa Ronaldo, mtoto huyo alicheza na watoto wengine …

Read More »