Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / August / 30

Daily Archives: August 30, 2018

WATAKIWA KUACHA KUTUMIA MAGARI YAO YA DHARURA VIBAYA

JC9A2644

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi akiwa akiwa katika kikao na Viongozi wa Makampuni ya Ulinzi Mkoa wa Arusha waliofika Ofisini kwake kwa ajili ya kujitambulisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha akiwa katika Picha ya pamoja na viongozi wa Makampuni ya …

Read More »

WILAYA YA MPWAPWA KUTUMIA ZAO LA KOROSHO KUJENGA UCHUMI

IMG_3874

br /> MKUU wa wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma Jabiri Shekimweri kushoto akizungumzia na Afisa Uhusiano wa Bodi ya Korosho Bryson Mshana mikakati yao katika zao la Korosho wakati wa ziara ya viongozi wa bodi hiyo kutembelea maeneo mapya kuhamasisha kilimo hicho  Afisa Uhusiano wa Bodi ya Korosho Bryson Mshana kulia …

Read More »

DK SHEIN ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI MIFUGO LANGONI.

DSC_4382

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiangalia mwani katika eneo la Taasisi ya  Utafiti wa Mifugo Zanzibar, Dole Wilaya ya Maghribi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo wakati alipotembelea akiwa katika ziara maalum,[Picha na Ikulu.] 30 Aug 2018. Rais wa Zanzibar na …

Read More »

ATCL YAZINDUA SAFARI YAKE YA KWANZA YA DAR- BUJUMBURA LEO

01

MKurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la ATCL Bw. Ladslaus Matindi akishuka kwenye  kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura nchini Burundi leo baada ya ndege ya ATCL Bombardier Q-400 kutua kwa mara ya kwanza jijini Bujumbura ikiwa ni safari yake ya kwanza kutoka jijini Dar es salaam nchini Tanzania  kwenda …

Read More »

MGOMBEA MMOJA WA UDIWANI AENGULIWA, SABA WANUSURIKA

D3

Idara ya Habari-NEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefanya uamuzi wa rufaa nane za wagombea udiwani wa kata saba zinazoshiriki uchaguzi mdogo na kukubali rufaa ya kumuengua mgombea mmoja wa kata ya Sisimba  katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Akitoa taarifa ya uamuzi wa rufaa hizo jijini Dar es …

Read More »

RAIS, MHE. JOHN POMBE MAGUFULI, MGENI RASMI KWENYE UZINDUZI WA TAMASHA LA URITHI FESTIVAL JIJINI DODOMA

1

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dodoma kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli, anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha la Mwezi wa Urithi linalotambulika kama ‘’Urithi Festival, Celebrating Our Heritage’’ litakalozinduliwa rasmi kitaifa katika …

Read More »

JAJI MKUU ATAKA SHERIA ZILENGE USTAWI WA WANANCHI

JAJI MKUU 2

Na Maura Mwingira , Dodoma Jaji Mkuu wa  Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma,  amewataka wanasheria wa serikali ambao wapo katika  utumishi wa umma, kuhakikisha kwamba, sheria wanazozisimamia lazima zikidhi matarajio ya maendeleo na ustawi wa wananchi maskini. JaJi Mkuu ameyasema hayo  leo wakati akifungua mkutano wa  siku mbili …

Read More »

MAKAMU RAIS WA FIFA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA TISA

fi

MAKAMU rais wa zamani wa shirikisho la soka duniani (FIFA) amehukumiwa kifungo cha miaka tisa nchini Marekani ikiwa ni matokeo ya uchunguzi wa rushwa iliyofanywa ndani ya chombo hicho kikubwa cha soka duniani. Juan Angel Napout, ambaye anatokea Paraguay alipatikana na hatia ya kuchukua mamilioni ya dola kwa njia ya …

Read More »

MKUU WA WILAYA YA NEWALA AFANYA ZIARA KATIKA MIRADI YA KILIMO BIASHARA INAYOFADHILIWA NA SHIRIKA LA AGAKHAN FOUNDATION

DC

  Mkuu wa Wilaya ya Newala Aziza Mangosongo (mwenye pama), akishiriki utoaji chanjo ya ugonjwa wa kideri kwa kuku alipozindua uchanjaji huo katika kijiji cha Chihangu Wilayni Newala. NEWALA, MTWARA Mkuu wa Wilaya ya Newala mkoani Mtwara Aziza Mangosongo amelipongeza shirika la Agakhan  Foundation kwa kuwajengea uwezo wakulima  katika Wilaya …

Read More »

ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA NEWALA KATIKA MIRADI YA KILIMO BIASHARA INAYOFADHILIWA NA SHIRIKA LA AGAKHAN FOUNDATION

IMG_20180830_111255_460

Mkuu wa Wilaya ya Newala Aziza Mangosongo (mwenye pama), akishiriki utoaji chanjo ya ugonjwa wa kideri kwa kuku alipozindua uchanjaji huo katika kijiji cha Chihangu Wilayni Newala. NEWALA, MTWARA Mkuu wa Wilaya ya Newala mkoani Mtwara Aziza Mangosongo amelipongeza shirika la Agakhan  Foundation kwa kuwajengea uwezo wakulima  katika Wilaya hiyo. …

Read More »