Saturday , October 20 2018

Home / 2018 / September

Monthly Archives: September 2018

BENKI YA FINCA MICROFINANCE YAZINDUA PROGRAMU YA SHINDANO LA ‘KUZA OFISI NA FINCA’ MSHINDI ATANYAKUA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI KUMI

pic3

Mku wa maswala ya kibiashara wa FINCA microfinance bank Emmanuel Mongella (kulia na mkuu wa idara ya masoko na mawasiliano wa benki hiyo Nicholous John wakiongea na waadishi wa habari katika uzinduzi wa programu ya Kuza ofisi na FINCA ilioanza kuonyeshwa na TVE jijini Dares salaam. ………………………….. Lengo la shindano …

Read More »

Serikali Kuleta Mabadiliko Ya Kiuchumi kwa Wafanyakazi

????????????????????????????????????

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na Viongozi wanawake kutoka vyama vya wafanyakazi Mkoani Morogoro kuhusu kuwahimiza wafanyakazi kuchangamkia fursa za shughuli za kimaendeleo zilizopo nchini. Rais wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Bw. …

Read More »

TIGO FIESTA 2018 – VIBE KAMA LOTE YAACHA GUMZO MOROGORO

BEN POL

Msanii wa Bongo Flava – Ben Pol akitumbuiza katika ufunguzi wa matamasha ya mwaka huu ya Tigo Fiesta 2018 – Vibe Kama Lote katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana usiku. Tamasha hilo linahamia katika mji wa Sumbawanga mwisho wa wiki hii.  Msanii wa Bongo Flava – Dogo Janja  akitumbuiza …

Read More »

ASKOFU WA KANISA LA MUNGU AWAOMBEA WANAFUNZI KIDATO CHA NNE

picha

Na John Walter-Babati Wakati wanafunzi wa kidato cha nne kote  nchini wakijiandaa kufanya mitihani yao ya mwisho ya kuhitimu mwezi oktoba mwaka huu, wazazi wametakiwa kuwa karibu na watoto wao pamoja na kufuatilia mwenendo mashuleni. Wito huo umetolewa na Makamu Askofu Mkuu wa kanisa la Mungu la Tanzania Askofu Boniface …

Read More »

Waziri Mwakyembe Awataka Wasanii wa Filamu kuthamini kazi Zao

PIX 1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiwasisitiza wasanii wa filamu nchini kuthamini kazi zao za filamu na kutokubali kuziuza kwa bei ya chini wanapopata nafasi za kuziuza katika televisheni za nje, leo jijini Mwanza alipokuwa akizindua Filamu ya Brother K katika ukumbi wa Misterious Cinemax …

Read More »

Serikali ya Ahidi kuungana na Mbunge wa Bukombe kuendeleza Michezo

PIX 6

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akiwapongeza wakazi wa Jimbo la Bukombe kwa kujitokeza kwa wingi kushuhudia fainali za DOTO CUP 2018 zilizofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Uyovu leo Wilayani Bukombe,mashindano hayo yaliandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Bukombe ambaye ni Naibu Waziri Wizara ya …

Read More »

“TAA KUIFUNGUA TANZANIA KWA ULIMWENGU”

IMG_0300

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela (kushoto) akiongea na waandishi kuhusiana na viwanja vya ndege kuchagiza uingiaji wa watalii nchini. Kulia na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Prof. Audax Mabula. ………………….. Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imejipanga kupitia kaulimbiu yake …

Read More »

MAZISHI YA IGP MSTAAFU PUNDUGU YAFANYIKA DAR

3

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa IGP Mstaafu marehemu Samwel Pundugu Mji Mwema Kigamboni ambapo alizikwa jana katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiwa na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi …

Read More »

MATUKIO MBALIMBALI YA BENKI YA NBC WIKI HII KATIKA PICHA

????????????????????????????????????

Mkurugenzi  Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (wa tatu kushoto, mstari wa mbele), akipiga picha ya pampoja na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng’I Issa (kulia kwake) wakati mkurugenzi huyo pamoja na ujumbe wake wakimtembelea ofisini kwake na kuzungumzia fursa mbalimbali za …

Read More »

STURRIDGE AIOKOA LIVERPOOL KUZAMA DHIDI YA CHELSEA

4635698-6222471-image-a-83_1538246460203-660x400

Mshambuliaji Mbelgiji wa Chelsea, Eden Hazard akipasua katikati ya mabeki chipukizi wa Waingereza wa Liverpool, Joe Gomez na Trent Alexander-Arnold katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Chelsea ilitangulia kwa bao la Hazard dakika ya 25 akimalizia pasi ya Mateo Kovacic kabla …

Read More »

MAN CITY YAITANDIKA 2-0 BRIGHTON EPL

4631688-6221891-image-a-72_1538234893418

Sergio Aguero akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester City dakika ya 65 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Bao la kwanza limefungwa na Raheem Sterling dakika ya 29 PICHA ZAIDI SOMA HAPA 

Read More »

ARSENAL YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI EPL YAICHAPA 2-0 WATFORD

4632248-6221989-image-a-72_1538236050506

Mesut Ozil (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Watford leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London kufuatia Craig Cathcart kujifunga dakika ya 81 kuwapatia Washika Bunduki hao bao la kwanza PICHA ZAIDI SOMA HAPA 

Read More »

JOB NDUGAI MGENI RASMI MECHI YA SIMBA NA YANGA KESHO TAIFA

11

  Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtangaza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa kesho Uwanja wa Taifa. Simba na Yanga zinashuka dimbani kesho Septemba 30 2018 kuendeleza safari ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara …

Read More »

TANZANIA YATHIBITISHA KUANDAA MICHUANO YA FAINALI ZA VIJANA

index

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)imeithibitisha rasmi Tanzania kuwa wenyeji wa Fainali za Africa za Vijana zitakazofanyika mwakani. Kikao hicho cha Kamati ya Utendaji kimekutana kwa siku mbili huko Sharm El Sheikh,Misri.  Kupitia sauti ya Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa,Serikali ya Tanzania ilimthibitishia Rais wa CAF Ahmad …

Read More »

MKUU WA MKOA WA IRINGA ALI HAPI AHITIMISHA ZIARA YAKE YA “IRINGA MPYA” ASEMA NITAWAPIGA NYUNDO WATENDAJI WA HOVYO KABLA SIJAPIGWA MIMI

4

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Ali Hapi akihutubia wananchi katika viwanja vya Mwembetogwa Manispaa ya Iringa wakati akifanya majumuisho ya ziara yake mkoani humo inayokwenda kwa jina la  “Iringa Mpya” ambapo watedaji kutoka wilaya zote na wataalam walijumuika pamoja katika mkutano huo. Ali Hapi amepokea kero mbalimbali za wananchi …

Read More »