Wednesday , April 24 2019

Home / MCHANGANYIKO / IGP AFANYA ZIARA CHUO CHA MAAFISA WA POLISI KIDATU

IGP AFANYA ZIARA CHUO CHA MAAFISA WA POLISI KIDATU

3 (13)

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Wakufunzi wa Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu Mkoani Morogoro wakati wa ziara ya kikazi kukagua mwenendo wa mafunzo chuoni hapo na kuzungumza na Wakufunzi na Askari wanafunzi wa chuo hicho.

1 (14)2 (15)

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Wananchi katika kituo cha Mabasi cha Msamvu mkoani Morogoro wakati alipokuwa Safarini kwenda Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu kwa ziara ya kikazi

4

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akitoka Jengo la utawala la Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu Morogoro wakati wa ziara ya kikazi kukagua mwenendo wa mafunzo chuoni hapo na kuzungumza na Wakufunzi na Askari wanafunzi wa chuo hicho. Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho DCP Frasser Kashai

Picha na Jeshi la Polisi

About Alex

Check Also

4-4

SERIKALI YAWAJAZA MAPESA BILIONI 688 WAKANDARASI WA MRADI WA UMEME WA RUFIJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James akimkabidhi Katibu Mkuu wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

9 + 4 =