Monday , September 24 2018

Home / MCHANGANYIKO / UJUMBE WA TAASISI YA HEAD INC WASHINGTON DC–WANADIASPORA.

UJUMBE WA TAASISI YA HEAD INC WASHINGTON DC–WANADIASPORA.

DSC_7012

Baadhi ya Madaktari Wazalendo wanaoishi Nchini Marekani kutoka  Taasisi ya Afya ,Elimu ya Maendeleo (HEAD  INC) wakiwa katika ukumbi  wa Ofisi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Mjini Zanzibar walipokuwa katika  mazungumzo na  Uongozi wa Wizara ya Afya yaliyofanyika leo wakiwa katika ziara maalum  hapa Nchini kutembelea maendeleo ya Hospitali za Serikali,[Picha na Ikulu] 14/09/2018.

DSC_7015

Baadhi ya Madaktari Wazalendo wanaoishi Nchini Marekani kutoka Taasisi ya Afya,Elimu ya Maendeleo (HEAD  INC) wakimsikiliza  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) (hayupo pichani) alipokuwa akiongoza  mazungumzo baina ya  Uongozi wa Wizara ya Afya Taasisi hiyo yaliyofanyika leo  Ofisini kwa Waziri, wakiwa katika ziara maalum  hapa Nchini kutembelea maendeleo ya Hospitali za Serikali,[Picha na Ikulu] 14/09/2018. 

DSC- 8091

Waziri wa Afya Mhe.Hamadi Rashid Mohamed (kushoto) alipokuwa akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na Madaktari Wazalendo wanaoishi Nchini Marekani kutoka  Taasisi ya Afya ,Elimu ya Maendeleo (HEAD  INC) katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Mjini Zanzibar (wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Isaa Haji Ussi (Gavu),[Picha na Ikulu] 14/09/2018.

About regina

Check Also

MATEI

MWANAFUNZI MBARONI KWA KUTUPA KICHANGA CHOONI

Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Isengo, Ines Mtundu (19) anamshikiliwa na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

3 × 3 =