Wednesday , April 24 2019

Home / MCHANGANYIKO / WAFANYAKAZI BORA WA MWEZI SEPTEMBA WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA ZAWADI

WAFANYAKAZI BORA WA MWEZI SEPTEMBA WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA ZAWADI

Pix 1 (4)

Daktari wa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Theophylly Mushi akipokea zawadi kwa niaba ya Daktari bora wa mwezi Septemba Sosteines Tibaijuka (hayupo pichani) kutoka kwa Meneja wa kampuni ya dawa za binadamu ya Samiro, Masila  Mani wakati wa hafla fupi ya utoaji zawadi kwa wafanyakazi bora iliyofanyika hivi karibuni  katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo.

Pix 2 (4)

Meneja wa kampuni ya dawa za binadamu ya Samiro, Masila  Mani akimkabidhi  zawadi ya mfanyakazi bora wa mwezi Septemba Mkuu wa Kitengo cha Dawa  wa Taasisi ya Moyo  Jakaya Kikwete (JKCI) Mfamasia Welu Kaali wakati wa hafla fupi ya utoaji zawadi  kwa wafanyakazi bora Iliyofanyika hivi karibuni  katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo.

Pix 3 (4)

Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia kwa ukaribu hafla fupi ya  utoaji zawadi kwa wafanyakazi bora wa mwezi Septemba iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo.

Picha na JKCI

About regina

Check Also

4-4

SERIKALI YAWAJAZA MAPESA BILIONI 688 WAKANDARASI WA MRADI WA UMEME WA RUFIJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James akimkabidhi Katibu Mkuu wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

sixteen − one =