Saturday , November 17 2018

Home / MCHANGANYIKO / WAZIRI MAJALIWA AAHIRISHA MKUTANO WA KUMI NA MBILI WA BUNGE

WAZIRI MAJALIWA AAHIRISHA MKUTANO WA KUMI NA MBILI WA BUNGE

PMO_2260

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Kumi na Mbili  wa Bunge jijini Dodoma, Septemba 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO_2157

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Hanang, Dkt. Mary Nagu Bungeni jijini Dodoma, Septemba 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO_2125

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Hanang, Dkt. Mary Nagu Bungeni jijini Dodoma, Septemba 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO_2098

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO_8415

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge jijini Dodoma Septemba 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO_8441

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 14, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
 

About regina

Check Also

IMG_5910

MAZOEZI YA PAMOJA YA MAJESHI YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAMEWAPA UTAYARI WA KUKABILIANA NA MAJANGA MBALIMBALI

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi akizungumza wakati akifunga kufunga …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

13 + 14 =