Saturday , October 20 2018

Home / MCHANGANYIKO / NAPE NNAUYE APATA AJALI NJIANI AKIELEKEA KWENYE ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM

NAPE NNAUYE APATA AJALI NJIANI AKIELEKEA KWENYE ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM

nape

Gari alilokuwa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye likiwa limepinduka baada ya kupata ajali katika kijiji cha Kibutuka.

nape 1

Baadhi ya wananchi waliofika katika eneo la tukio kwa ajili ya kutoa msaada.

nape 2

Baadhi ya wananchi waliofika katika eneo la tukio kwa ajili ya kutoa msaada.

nape 3

Gari alilokuwa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye likiwa limepinduka baada ya kupata ajali katika kijiji cha Kibutuka.

Mbunge wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye amepata ajali leo tarehe 24 Septemba 2018  katika kijiji cha Kibutuka akiwa safarini kuelekea wilaya ya Liwale mkoani Lindi.

Kwa mujibu wa Mbunge wa Nachingwea, Hassan Masala, Nape pamoja na wengine wanne waliokuwemo ndani ya gari hawajapata madhara makubwa ya kiafya.

Nape alikuwa njiani akielekea Liwale kwa ajili ya kushiriki ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally.Vile vile, alitarajiwa kushiriki kikao cha Kamati Kuu ya Siasa ya Mkoa wa Lindi.

 

About regina

Check Also

PIX 4

SERIKALI KUIMARISHA ULINZI MAENEO YA UTALII

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza  na wadau wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

5 × five =