Thursday , February 21 2019

Home / MCHANGANYIKO / LUGOLA AITAKA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOA WA KIGOMA, KUWADHIBITI ASKARI POLISI, UHAMIAJI WASIOKUA WAAMINIFU KATIKA VIZUIZI MBALIMBALI MKOANI HUMO

LUGOLA AITAKA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOA WA KIGOMA, KUWADHIBITI ASKARI POLISI, UHAMIAJI WASIOKUA WAAMINIFU KATIKA VIZUIZI MBALIMBALI MKOANI HUMO

PIX 1 (8)

Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Kakonko, Mkoa wa Kigoma, Julius Samwel, akimuonyesha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto) Jengo la Wilaya hiyo, alipowasili wilayani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi. Kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Simon Mando. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

PIX 2 (13)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati) akizungumza na Wajumbe wa Kamati yaUlinzi na Usalama ya Wilaya ya Kakonko (upande wa kushoto) pamoja na Kamati ya Mkoa (upande wa kulia) katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, leo. Lugola aliwataka wajumbe hao kuwadhibiti baadhi ya askari Polisi na Uhamiaji ambao wanatabia ya kuomba rushwa katika maeneo mbalimbali yakiwemo katika vizuizi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

PIX 3 (11)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati) akimsikiliza Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Kakonko, Mkoani Kigoma, Julius Samwel (kushoto) alipokua anatoa taarifa ya Wilaya ya Ulinzi na Usalama katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, leo. Lugola aliwataka wajumbe wa Kamati hiyo pamoja naya Mkoa huo kuwadhibiti baadhi ya askari Polisi na Uhamiaji ambao wanatabia ya kuomba rushwa katika maeneo mbalimbali yakiwemo katika vizuizi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

PIX 4 (7)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (aliyeshika kitabu) akitoka katika ofisi ya Wilaya ya Kakonko, Mkoani Kigoma, akielekea katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, kwa ajili ya kufanya kikao na Wajumbe wa Kamati yaUlinzi na Usalama ya Wilaya ya Kakonko pamoja na Kamati ya Mkoa, leo. Katika kikao hicho, Waziri Lugola aliwataka wajumbe hao kuwadhibiti baadhi ya askari Polisi na Uhamiaji ambao wanatabia ya kuomba rushwa katika maeneo mbalimbali yakiwemo katika vizuizi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

About regina

Check Also

3

HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE YAPITISHA BAJETI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 30

Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Hamisi Dikupatile akizungumza na wajumbe wa kikao cha …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

four × 1 =