Saturday , October 20 2018

Home / MCHANGANYIKO / WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA YA KIKAZI KIGOMA

WAZIRI LUGOLA AANZA ZIARA YA KIKAZI KIGOMA

ZIARA 1

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola leo tarehe 25 Septemba 2018 ameanza ziara ya kikazi katika mkoa wa Kigoma.

Katika ziara yake hiyo, Mhe. Lugola anatarajiwa kutembelea wilaya zote za mkoa wa Kigoma, pamoja na kuzungumza na askari, maafisa mbalimbali wa wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Vile vile, Mhe. Lugola atafanya mikutano ya hadharani katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa mkoa huo.

About regina

Check Also

S1

LIVE : MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI NA IGP SIMON SIRRO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

6 + eleven =