Thursday , December 13 2018

Home / MCHANGANYIKO / WAZIRI WA HABARI UTALII NA MICHEZO MAHMOUD THABIT KOMBO AKABIDHI LESENI ZA UTANGAZAJI ZANZIBAR.

WAZIRI WA HABARI UTALII NA MICHEZO MAHMOUD THABIT KOMBO AKABIDHI LESENI ZA UTANGAZAJI ZANZIBAR.

DSC_9732

Mwenyekiti wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Dkt,Ally Saleh Mwinyikai akimkaribisha Waziri wa Habari Utalii na Michezo Mahmoud Thabit Kombo (hayupo pichani)katika hafla ya Kukabidhi Leseni za Utangazaji (TV ONLINE)ambapo jumla ya Tv Online Nane na Kebol mbili zilipatiwa hafla Iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Michezo Kikwajuni Zanzibar.

DSC_9766

Waziri wa Habari Utalii na Michezo Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba katika hafla ya Kukabidhi Leseni za Utangazaji (TV ONLINE)ambapo jumla ya Tv Online Nane na Kebol mbili zilipatiwa hafla Iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Michezo Kikwajuni Zanzibar.

DSC_9783

Waziri wa Habari Utalii na Michezo Mahmoud Thabit Kombo kulia akimkabidhi Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Hassan Hatibu Leseni ya Utangazaji (TV ONLINE)katika hafla ya kukabidhi leseni Iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Michezo Kikwajuni Zanzibar.
DSC_9787
Waziri wa Habari Utalii na Michezo Mahmoud Thabit Kombo kulia akimkabidhi Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar  Leseni ya Utangazaji (TV ONLINE)katika hafla ya kukabidhi leseni Iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Michezo Kikwajuni Zanzibar.
DSC_9870
Waziri wa Habari Utalii na Michezo Mahmoud Thabit Kombo katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Waliopatiwa Leseni za Utangazaji(TV ONLINE)Katika hafla ya kukabidhi leseni Iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Michezo Kikwajuni Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANIZBAR.

About regina

Check Also

GY3A9651

Mahiga:Tuadhimishe Uhuru kwa kuwakumbuka waliopigania Uhuru huo

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii ¬† Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

thirteen − 3 =