Baadhi ya washiriki wa Semina ya Ujasiriamali wakisikiliza kwa umakini Mkurugenzi wa Mfuko wa Mikopo Tanzania (ZEDO) Bw.Ussi Said Suleiman (hayupo pichani) Jijini Dodoma Bi.Elizabeth Gerald Mtimi,Katibu wa Zedo Mkoa wa Dodoma akizungumza na wajasiriamali katika Semina ya kuwapa Elimu na Mafunzo mbalimbali ya kuendesha biashara zao Francis John Songoro …
Read More »Daily Archives: October 1, 2018
RAIS DKT.MAGUFULI AMEAHIDI KUTOA MILIONI 20 KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI YA WAJASIRIAMALI WA ENEO LA FERI JIJINI DAR
Dkt. Mawkyembe Awataka Wawakilishi wa Multichoice Talent kuwa Mabalozi wa Wazuri
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na washindi wanne wa Multichoice Talent Factory (Hawapo katika picha) alipokutana nao leo katika Ofisi za Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika Jijini Dar es salaam . Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (Kushoto) …
Read More »INTERNATIONAL YOUNG FASHION DESIGNERS SHOWCASE TOUR IN TANZANIA
Group photo from left: Ms Angel Hon, Curator of International Young Fashion Designers Showcase Tour, Ambassador Ramadhani Mwinyi, Deputy Permanent Secretary Ministry of Foreign Affairs, MrsPinda, Dr Annie Wu, Honorary Consul of the United Republic of Tanzania to Hong Kong and Macau, Hon MizengoPinda, Former Prime Minister of Tanzania Ms …
Read More »NAIBU WAZIRI OLE NASHA AITAKA KAMPUNI YA UJENZI KUWASILISHA MICHORO NDANI YA WIKI MOJA
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akipokea taarifa ya Elimu ya Mkoa wa Ruvuma kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Pololet Mgema wakati wa ziara ya kukagua miradi ya Elimu Mkoi huko. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akipata maelezo …
Read More »CRISTIANO RONALDO MATATANI KWA TUHUMA ZA KUBAKA
MWANAMKE mmoja, Kathryn Mayorga, amejitokeza na kusema mwanasoka, raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo alimbaka mwaka 2009 katika hoteli moja jijini Las Vegas, Marekani. Baada ya tukio hilo mwanamke huyo akiri kupewa Dola za Marekani, $375,000 kama malipo ya kutakiwa kukaa kimya na kutozungumzia suala hilo. Hata hivyo, Ronaldo, kupitia video …
Read More »MAJIZZO AMVALISHA LULU PETE YA UCHUMBA, NDOA IMEIVA!
MOJA ya stori zinazo-trendi kwenye social networks kwa sasa ni tukio la kihistoria la muigizaji wa filamu za Bongo Movie, Elizabeth Michael ‘Lulu’, kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake ambaye ni C.E.O wa EFM na ETV, Majizzo. Tukio hilo la kuvalishwa pete limefanyika usiku wa jana Jumapili, Sepetemba 30, …
Read More »MTIBWA SUGAR YAICHAPA 2-1BIASHARA UNITED,YAPANDA KILELENI LIGI KUU TANZANIA BARA
TIMU ya Mtibwa Sugar imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Biashara United katika mchezo uliofanyika mchana wa leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro mchana wa leo. Ushindi huo unaifanya Mtibwa Sugar inayofundishwa na mchezaji wake wa zamani, Zuberi Katwila …
Read More »TANZANIA YAONGOZA DUNIANI KWA KUWA NA UTAJILI WA URITHI WA ASILI BAADA YA BRAZIL
Wasanii wa kundi la Wanne Star wakicheza ngoma za utamaduni jukwaani wakati wa ufunguzi wa tamasha hilo leo Oktoba mosi, Jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Wadau wa Utalii Tanzania, Bwana Abdukadir Luta Mohamed (Katikati) akiwa kwenye meza kuu wakati wa tamasha hilo. Mwenyekiti …
Read More »KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII AWAASA WATUMISHI KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA NIDHAMU YA HALI YA JUU
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Millanzi ametoa rai hiyo leo alipokuwa akiwaaga rasmi watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii kufuatia kustaafu kwake rasmi Jeshi pamoja na Utumishi wa Umma na kuwataka watumishi hao kufanya kazi kwa weledi na nidhamu ya hali ya juu …
Read More »MHE. SPIKA AINDIKIA TUME YA UCHAGUZI KUHUSU KUJIUZULU KWA MBUNGE WA JIMBO LA SERENGETI.
TAIFA STARS YAANZA KAMBI KUJIANDAA DHIDI YA CAPE VERDE KUFUZU AFCON
Kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inaanza rasmi leo kujiandaa na mchezo wa kuitafuta tiketi ya kucheza Fainali za Africa mwakani dhidi ya Cape Verde. Kambi hiyo inayoanza leo itaanza na wachezaji wanaocheza ndani kabla ya kuungana na wale wanaocheza nje ya Tanzania. Mazoezi ya Taifa Stars …
Read More »MAPATO SIMBA NA YANGA NI MIL. 404.5
Mchezo namba 72 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara(TPL) kati ya Simba na Young Africans uliochezwa Jumapili Septemba 30,2018 Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi milioni 404,549,000. Mchezo huo ulioanza saa 11 jioni umeingiza jumla ya Watazamaji 50,168. Mgawanyo wa mapato hayo ni kwenye upande wa VAT,Selcom,TFF,Uwanja,Simba,TPLB,gharama za mchezo,BMT …
Read More »MHAGAMA ATEMBELEA MRADI WA UJENZI KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akisalimiana na baadhi ya watendaji alipowasili katika kiwanda cha sukari cha Mkulazi (Mbigili), Mkoani Morogoro kukagua na kujionea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa kiwanda hicho. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la …
Read More »ZAIDI YA WATU 300 WAFANYIWA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO KIGAMBONI
Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Smitha Bhalia akitoa maelekezo ya jinsi ya kutumia dawa kwa mkazi wa Kigamboni wakati wa maadhimisho ya siku ya Moyo Duniani ambapo Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari wa Moyo Tanzania (THF) walifanya upimaji bila malipo katika viwanja vya Hospitali ya Vijibweni …
Read More »SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATOA HUDUMA ZA AFYA WATAKAOBAINIKA KUTOA LUGHA ZA KEJELI NA MAUDHI KWA WAZEE.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akitoa hotuba yake kwa wazee walioshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wazee yaliyofanyika kitaifa leo Jijini Arusha. Rais Mstaafu awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi akitoa hotuba yake kwa wazee walioshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa …
Read More »TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA THF WAFANYA UPIMAJI NA UTOAJI ELIMU BURE KWA WAKAZI WA KIGAMBONI
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndungulile akimsikiliza mkazi wa Kigamboni aliyejitokeza kupima magonjwa ya moyo pamoja na kupata elimu ya afya bora ya moyo wakati wa maadhimisho ya siku ya Moyo Duniani ambapo Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na …
Read More »WAZEE NCHINI WATAKA UWAKILISHI BUNGENI NA MABARAZA YA MADIWANI
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu Na Ahmed Mahmoud Arusha WAZEE wameiomba serikali kuhakikisha wanapata uwakilishi wa viti maalumu bungeni na mabaraza ya maidwani nchini ili kuweza kupaaza sauti zao sanjari na kutungiwa sheria kama yalivyo makundi mengine. Akizungumza kwenye kilele cha siku ya wazee …
Read More »HAKIKISHENI WAFANYAKAZI WANAELEWA WAJIBU NA HAKI ZAO KATIKA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI-SSRA
Mkurugenzi wa Uendeshaji, Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Bw. Anselim Peter, (kushoto), akimpongeza mgeni rasmi, Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Tathmini, Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti Sekta ya Hifadhi ya Jamii Nchini (SSRA), Bw. Joseph Mutashubilwa, baada ya kufungua magfunzo ya Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi yaliyowaleta pamoja …
Read More »MV MBEYA KUTATUA CHANGAMOTO ZA USAFIRI ZIWA NYASA
Meli ya MV Mbeya II ikiwa katika hatua mbalimbali za ujenzi wake kwenye Bandari ya Kyela ambapo inatarajia kukamilika Mwezi Desemba Mwaka huu na itakuwa ikihudumia Abiria 200 na mizigo tani 200 kwenye Ziwa Nyasa. Baadhi ya mafundi wa ujenzi wa Meli ya MV Mbeya II wakiendelea na kazi hiyo …
Read More »TIGO FIESTA 2018 – VIBE KAMA LOTE YAJA NA PROMOSHENI YA DATA KAMA LOTE
Mkuu wa Huduma na Bidhaa wa Tigo, David Umoh (kulia) akizungumza na waandishi wa Habari leo katika uzinduzi wa promosheni ya Data Kama Lote inayowapa wateja bonasi ya hadi mara mbili kwa vifurushi vya intaneti watakavyonunua kupitia menu iliyoboreshwa ya Tigo *147*00#, katika msimu huu wa Tigo Fiesta 2018 – …
Read More »MKANDARASI SENGEREMA ATAKIWA KUONGEZA KASI
Naibu waziri wa nishati ,Subira Mgalu , (mwenye kilemba cha njano )wakati alipokwenda kutembelea kazi inavyoendelea kufanyika katika mradi huo mzunguko wa kwanza halmashauri ya Chalinze, pamoja na mradi wa ujazilizi huku akiwa ameambatana na wataalamu wa REA na TANESCO .(picha na Mwamvua Mwinyi ) Naibu waziri wa nishati ,Subira …
Read More »BONDIA SUNDAY KIWALE ANOLEWA NA KOCHA SUPER D KUZIPIGA CHINA OCTOBA 15
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kusoto akimwelekeza bondia Sunday Kiwale ‘Moro Best’ jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini ‘Upcat’ Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Oktoba 15 2018. Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kusoto …
Read More »BODI YA NAFAKA NA MAZAO MCHANGANYIKO KIUNGO CHA WAKULIMA NCHINI
Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba SERIKALI kupitia Wizara ya Kilimo inatekeleza Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili (ASDP II) ili kuhakikisha kuwa Kilimo kinakua kwa asilimia 6 kwa mwaka kuendana na malengo ya Programu Kabambe ya Maendeleo ya Kilimo Barani Afrika (CAADP). ASDP Awamu ya pili …
Read More »LUGOLA AWASILI KATAVI, AWATAKA WAKUU WA IDARA WA MKOA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA MKOANI HUMO
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Lilian Matinga (kulia), akimpokea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola alipowasili katika ofisi za mkoa huo, mjini Mpanda leo, kwa ajili ya kufanya kikao na Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na Wakuu wa Idara wa Mkoa wa mkoa huo kuhusiana …
Read More »KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI CHAENDELEA CHUKWANI ZANZIBAR.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Said Hassan Said (kulia )akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheir ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar. Muakilishi wa Jimbo la Paje Jaku …
Read More »MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB, ABDULMAJID NSEKELA AANZA KAZI RASMI
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kushoto) akikaribishwa na Mkurugenzi Mtendaji anayemaliza muda wake, Dkt. Charles Kimei (kulia) wakati alipowasili rasmi kazini kwa siku ya kwanza, Oktoba 1, 2018. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay na wapili …
Read More »MWENGE WA UHURU ULIVYOHAMASISHA ELIMU KISHAPU
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa, Charles Kabeho akikagua jengo la chumba cha darasa shule ya msingi Wishiteleja wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wakati mwenge ulipopita. Nyumba ya walimu shule ya sekondari Maganzo ikiwa tayari kuzinduliwa na mbio za Mwenge ulipokimbizwa katika wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga. Na Robert …
Read More »Waziri Mkuu Atoa Neno kwa Mabenki ya Biashara Kushiriki katika Uwekezaji Sekta ya Madini
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Teknolojia Bora ya Uzalishaji wa Dhahabu , Mkoani Geita Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitembelea baadhi …
Read More »MBUNGE WA CCM MANYARA AITAMANI FIESTA UWANJA WA KWARAA
Na John Walter-Manyara Mbunge wa viti maalum mkoa wa Manyara Ester Mahawe ameiomba serikali,ofisi ya mkuu wa mkoa wa Manyara na wadau wa michezo kushirikiana kuzungusha ukuta katika uwanja wa mpira wa Kwaraa wa ili kuweza kuweza kupata mapato kupitia matamasha mbalimbali. Mheshimiwa Mahawe amesema Matamasha makubwa yanashindwa kufanyika katika …
Read More »