Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / October / 02

Daily Archives: October 2, 2018

MBIO ZA ROTARY DAR MARATHON ZAPIGA HODI

2b

Msanii wa kike anayetamba zaidi nchini, Vanessa Mdee al-maarufu Vee-Money ambaye pia ni Balozi wa wa Mbio za Rotary Dar kwa mwaka huu akizungumza leo (Oktoba 02, 2018) jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kutangaza rasmi maandalizi ya mbio za Rotary Dar zitakazofanyika Oktoba 14 mwaka huu (Siku …

Read More »

MKURUGENZI MTENDAJI TIC AITA WAWEKEZAJI JNIA-TBIII

DSC_2343

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela (kushoto) leo akiteta na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Bw. Geoffrey Mwambe kabla ya kuanza kwa ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa Jengo la Tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa …

Read More »

BENKI YA KILIMO YAOMBWA KUSAIDIA ZAO LA CHAI WILAYANI LUSHOTO

IMG_7030

Mkuu wa Wilaya ya Lushoto, Bw. January Lugangika (wapili kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) ulipomtembelea Ofisini kwake wilayani Lushoto kuzungumzia fursa za uwekezaji katika kilimo. Wanaomsikiliza ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Japhet Justine (kushoto), wengine ni Afisa Biashara Mwandamizi wa TADB, …

Read More »

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KIGOMA WANOLEWA UELEWA KUHUSU UALBINO

2X6A6820

Mashirika ya Under The Same Sun, CEFA Tanzania na GNRC Tanzania, yaendelea kuelimisha jamii kuhusiana na ualbino. Mradi wa HAKI YETU wakutana na Maafisa Maendeleo  na ustawi wa jamii Kigoma na kuzungumza  madhara ya kuwatenga watu wenye ualbino Maafisa Maendeleo ya Jamii, na ustawi wa jamii Kigoma wapigwa msasa uelewa kuhusu Ualbino …

Read More »

MWENYEKITI CCM MKOA WA MAGHARIBI, RAJAB SOUD AWATAKA WANANCHI KUWA WAVUMILIVU WAKATI VYOMBO VYA SHERIA VIKITATUA MGOGORO WA ARDHI 

IMG_4291

Shamba lenye mgogoro kati ya wananchi na bi.Shafika Hamed Abdulla. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Ndugu Mohamed Rajab Soud akizungumza na Wananchi wanaofanya shughuli za kilimo katika shamba lililopo Dole kwa Shabuta waliomwita kusikiliza malalamiko yao ya kufukuzwa katika shamba hilo. BAADHI ya wananchi hao wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti …

Read More »

NAIBU WAZIRI MHE. HASUNGA AHAMASISHA UTALII WA NDANI MASHULENI

5a

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kilimampimbi iliyopo wilaya ya Mbozi mkoani Songwe akiwahamasisha kuhusu umuhimu wa kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini  kwa lengo la  kuongeza mapato yatokanayo na utalii pamoja na kukuza uzalendo wa kupenda na kuthamini …

Read More »

RAIS MAGUFULI ATEKELEZA AHADI YA KUTOKA MILIONI 20 KWA WAVUVI NA MAMA JANETH MAGUFULI MILIONI 5 ZA MAMA NTILIE ENEO LA FERI JIJINI DAR ES SALAAM

a (12) (1)

Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwa na  Mwenyekiti wa UWAWAKI Bw. Amir Amani   wakielekea sehemu itapojengwa ofisi zao katika utekelezaji wa ahadi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya kutoa shilingi milioni 20 kwa ajili ujenzi wa ofisi ya Wavuvi Wadogo Wadogo (UWAWAKI) waliopo katika eneo la Feri, Wilaya ya …

Read More »

SERIKALI YANUNUA MASHINE ZA MIONZI ZENYE THAMANI YA BILIONI 1.74

7

Na.WAMJW, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imenunua mashine za Mionzi (digital X-ray) zipatazo kumi zenye thamani ya shilingi bilioni 1.74. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akipokea mashine hizo kwenye Bohari ya Dawa(MSD) jijini hapa. …

Read More »

RC MONGELLA AIPONGEZA MAMLAKA YA MAJI MWANZA

2 (14)

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (kushoto) alipowasili kwenye ofisi za Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA) na kupokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka, Mhandisi Anthony Sanga (kulia). Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (katikati) akizungumza na watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi …

Read More »

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA WATENDAJI WA OFISI YAKE KUJADILI UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM YA MWAKA 2015-2020 NA MAAGIZO YA MHE.RAIS JIJINI DODOMA.

PC 1

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo kwa Wakuu wa Taasisi, Idara na Vitengo vilivyopo chini ya Ofisi hiyo (hawapo pichani) alipokutana nao kujadili utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020 na Maagizo ya …

Read More »

PANGANI YAANDIKA HISTORIA SIKU YA WAZEE DUNIANI

AWEXO

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso kushoto akila na wazee wilayani Pangani IKIWA ni kilele cha siku ya wazee Duniani ambako kiwilaya yalifanyika kwenye viwanja vya Bomani wilayani humo   MKUU wa wilaya ya Pangani,Zainabu Abdallah katika akiwa na wakazi wa mji wa Pangani wakati wa maadhimisho hayo …

Read More »

KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI CHAENDELEA ZANZIBAR.

DSC_9428

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya kale Mahmoud Thabit Kombo(kulia)akibadilishana mawazo na Muakilishi wa Jimbo la Chaani Nadir Abdul-latif Yussuf Al-wardy ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Chukwani Zanzibar. Muakilishi wa Jimbo la Dimani Dkt,Mwinyihaji Makame Mwadini (kulia)akibadilishana mawazo na Muakilishi wa Jimbo la Shaurimoyo Hamza Hassan Juma …

Read More »