Friday , March 22 2019

Home / 2018 / October / 04

Daily Archives: October 4, 2018

TIGO FIESTA SUPA NYOTA YAVUMBUA VIPAJI MKOANI RUKWA

Adam na Waliopita mchuja wa 5 bora 1

  Washiriki wakiwa kwenye mchujo wa mwisho uliotoa washindi wawili ambao watapanda kwenye jukwaa la Tigo Fiesta kesho uwanja wa Nelson Mandela Sumbawanga na kupata mshindi mmoja   Majaji wakiongozwa na Jaji Mkuu, Adam Mchomvu (mwenye miwani), wengine toka kulia ni Afisa Michezo Manispaa ya Rukwa, Adam Evarist, Afisa Utamaduni …

Read More »

TAKUKURU DODOMA YAMNASA MHADHIRI UDOM KWA RUSHWA YA NGONO

85513_announcements_51-660x400

TAKUKURU Mkoa wa Dodoma jana usiku iliweka mtego na kufanikiwa kumkamata Jacob Paul Nyangusi ambaye ni Mhadhiri wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kosa la kumtaka mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kingono ili amsaidie katika mitihani ya marudio aliyofanya hivi karibuni. Kosa hili …

Read More »

TUHUMA ZA KUBAKA RONALDO AACHWA TIMU YA TAIFA YA URENO

4758958-0-image-a-89_1538654026702

MSHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo ametemwa kwenye kikosi cha Ureno kitakachomenyana na Poland na Scotland baadaye mwezi huu. Nyota huyo wa Juventus, ambaye ameifungia timu yake ya taifa mabao 85 katika mechi 154, hajaitwa kwenye kikosi cha michuano ya Ligi ya Mataifa ya Ulaya dhidi ya Poland na wa kirafiki dhidi ya …

Read More »

MRADI WA STIEGLER’S UTASADIA KUTUNZA MAZINGIRA – MAJALIWA

PMO_0720

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Serikali ya awamu ya tano wa kujenga mradi wa kuzalisha umeme kwenye maporomoko ya mto Rufiji, Stiegler’s Gorge utasaidia sana kudhibiti uharibifu wa mazingira nchini. Akizungumza baada ya kutembelea eneo utakapojengwa mradi huo, leo (Alhamisi, Oktoba 4, 2018), Waziri Mkuu amesema umeme utakaotokana na …

Read More »

WAZIRI KAMWELWE ATAKA BOMBARDIER IANZE SAFARI ZA IRINGA MWEZI HUU

2

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe akitoa maelekezo kwa wafanyakazi wa sekta za Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano mkoani Iringa alipokagua ukarabati wa uwanja wa ndege wa Nduli-Iringa. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe akitoa maelekezo kwa wafanyakazi wa sekta za Ujenzi, Uchukuzi …

Read More »

MAJALIWA ATEMBELEA ENEO UTAKAPOJENGWA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA STIEGLERS GORGE

PMO_0747

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiksalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo wakati alipowasili kwenye  eneo utakapojengwa  Mradi wa  Umeme katika Maporomoko ya Mto Rufiji  – Stieglers Gorge, Oktoba 4, 2018. Kulia ni Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani na wapili kulia ni  Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephen Kebwe. Waziri Mkuu, Kassim …

Read More »

JITIHADA ZA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI KUTOKOMEZA KIFUA KIKUU

ummy-mwalimu

Na. Immaculate Makilika – MAELEZO                     UGONJWA wa kifua kikuu ni kati ya magonjwa matatu ikiwemo malaria na ukimwi yanayotokea sana kwa watu masikini duniani, ambapo asilimia 98 ya watu katika nchi zinazoendelea inaelezwa wameathirika na magonjwa haya.                   Kwa mujibu wa Taarifa ya Shirika la Misaada la …

Read More »

SITAMVUMILIA ANAYEIHUJUMU NHIF- RC MBEYA

1 (22)

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Bw. Albert Chalamila akifungua mkutano wa Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani humo. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHIF, Mama Anne Makinda akihutubia wadau wa mkutano huo. Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Bw. Beranrd Konga akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Mfuko …

Read More »

BALOZI WA KENYA AFANYA ZIARA SIMIYU KUJIONEA FURSA ZA UWEKEZAJI

PICHA H (1)

Balozi wa Kenya  nchini Tanzania,  Mhe. Dan Kazungu akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka(kulia)  , mara baada ya kuwasili Mjini Bariadi  wakati wa ziara yake mkoani humo, Oktoba 03, 2018. Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka(kulia) akisalimiana na  Balozi wa Kenya nchini Tanzania,  Mhe. Dan Kazungu, mara baada …

Read More »

WAGONJWA 36 WAMEFANYIWA UPASUAJI WA MOYO WA KUFUNGUA KIFUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU INAYOFANYIKA KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE

Picha no. 4

  Daktari wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Balsam Care & Care  la nchini Saudi Arabia wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo bila kufungua kifua kwa kutumia mtambo wa Cathlab kwa njia ya kutoboa tundu dogo katika  paja katika kambi …

Read More »