Monday , February 18 2019

Home / 2018 / October / 05

Daily Archives: October 5, 2018

DIAMOND ASIMULIA MAISHA YAKE,ATOA BAJAJ KWA MAMA MLEMAVU

4

Mkuu ya Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akizungumza wakati wa sherehe za kumbukizi ya kuzaliwa kwa Msanii Naseeb Abdul ‘ Diamond’  ambapo tukio linakwenda sambambamba na msanii huyo kurejesha shukrani kwa wananchi wa Kata ya Tandale. Msemaji wa Simba Haji Manara akizungumza jambo kwenye hafla hiyo iliyofanyika Tandale  Mkuu …

Read More »

KUNAMBI:MIGOGORO YA ARDHI KUWA HISTORIA JIJI LA DODOMA

DSC_0791

Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Godwin Kunambi akizungumza na Wananchi wa Kata ya Kikuyu Kusini wakati wa ufunguzi wa kambi ya siku nne ya kutatua migogoro ya ardhi kwa kata 41 zilizopo katika Halmashauri ya Jiji huo. Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Bw.Godwin Kunambi akifafanua jambo kwa baadhi ya wananchi …

Read More »

SERIKALI YAOMBWA KUONGEZA WATUMISHI KADA YA AFYA

IMG_20181003_131441

Na John Walter-Manyara Licha ya serikali kuongeza bajeti ya dawa kutoka bilioni 31 mwaka 2016/2017 hadi kufikia shilingi Bilioni 269 mwaka 2018-2019,imeombwa kuajiri watumishi katika kada ya afya ili kuwahudumia wananchi kwa ufanisi. Wito huo umetolewa na Kaimu meneja wa  Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya [NHIF] ambao pia …

Read More »

JIJI LA DODOMA KINARA UKUSANYAJI MAPATO

IMG_6940

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali(TAMISEMI) Seleman Jafo,akizungumza wakati wa kutoa Taarifa Ukusanyaji wa Mapato katika Halmashauri zote nchini Leo Jijini Dodoma Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali(TAMISEMI) Seleman Jafo,alipokuwa akitoa Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato …

Read More »

KAMATI YA UONGOZI YA CHAMA CHA MASPIKA WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA (CPA – AFRIKA) YATEMBELEA SOKO LA KIHISTORIA LA WATUMWA LA MKUNAZINI, MJINI UNGUJA, ZANZIBAR

STONE TOWN 2

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (Mb), (aliyesimama katikakati) na ujumbe wake ambao ni Kamati ya Uongozi ya Chama cha Maspika wa Mabunge ya Jumuia ya Madola Kanda ya Afrika (CPA – Afrika) wametembelea soko la watumwa lijulikanalo kama Stone Town Mjini Unguja. Kamati ya Uongozi ya Chama cha Maspika …

Read More »

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KOZI MBALIMBALI KATIKA CHUO CHA USTAWI WA JAMII

ustawi

CHUO cha Ustawi wa Jamii nchini kimetangaza majina ya wanafunzi walioteuliwa kusomea kozi  katika mwaka wa masomo wa 2018/2019 mbalimbali chuoni hapo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chuo hicho, wanafunzi hao wanatakiwa kuripoti chuoni hapo tarehe 15 Oktoba 2018. Kupata majina ya waliochaguliwa gusa kiunganishi (link) hapo chini. Selected …

Read More »

TRA YAKAMATA WATU WAWILI KWA KOSA LA KUGUSHI RISITI ZA EFD

kayombo

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa mamlaka hiyo Richard Kayombo akizungumza jambo. Na Mwandishi wetu Dar es Salaam 5 Oktoba, 2018   Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewakamata watu wawili mwanamke na mwanaume kwa kosa la kugushi Risiti za Kielektroniki za EFD katika maeneo ya Sinza Mori jijini …

Read More »

HOSPITAL YA BAGAMOYO YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA WATUMISHI NA BAADHI YA MAJENGO KUWA CHAKAVU – DKT .MULOKOZI

IMG_20181004_103529

Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Mkoani Pwani walipotembelea hospital ya wilaya ya Bagamoyo kuadhimisha wiki ya wanawake UWT kimkoa ,(wa pili kulia ) Mganga Mfawidhi hospitalini hapo dokta Erick Mulokozi. (Picha na Mwamvua Mwinyi) Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Mkoani Pwani walipotembelea hospital ya wilaya ya Bagamoyo kuadhimisha wiki ya …

Read More »

NDALICHAKO: ZOEZI LA UKAGUZI WA VYUO NI ENDELEVU.

Pix 7 Mhe Ndalichako

Na Fatma Salum- MAELEZO   Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amesema kuwa Serikali kupitia Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) itaendelea na zoezi la ukaguzi wa vyuo vya elimu ya juu kila mwaka na taarifa za vyuo husika zitakuwa zikitolewa kabla ya udahili kuanza.   Ndalichako aliyasema …

Read More »

NAIBU WAZIRI HASUNGA AWATAKA WAFUGAJI NYUKI KUFUGA KISASA

1

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akisalimiana na mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wa Mkoa wa Rukwa wakati alipowasili katika eneo la kutundika mizinga katika manzuki ya Nawima iliyoko katika Msitu wa Mto Kalambo  katika mkoa wa Rukwa. Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo (kushoto) …

Read More »

WAWILI WANASWA NA BANGI MBEYA

Bhangi iliyokaushwa na kupakiwa kwenye mifuko ya salphet

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili, Rose Charles (40) na Andende Smoke Mbalwa kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi debe tatu zenye uzito wa kg 15.   Akizungumza na wanahabari leo tarehe 5 Oktoba 2018, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, SACP, Ulrich …

Read More »

JOINT MESSAGE FROM THE HEADS OF UNESCO, ILO, UNICEF, EDUCATION INTERNATIONAL AND UNDP ON THE OCCASION OF WORLD TEACHERS DAY, 5 OCTOBER 2018

World Teachers Day 2018

Education is a fundamental human right and a public good. It transforms lives by driving economic and social development. It promotes peace, tolerance and social inclusion. It is key to eradicating poverty. And it enables children and young people to fulfil their potential. In many places, however, children are deprived …

Read More »

IGP AKUTANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI.

2 (22)

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Balozi wa Uturiki nchini Mhe. Ali Davutoglu wakati balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake Makao Mkauu ya Polisi Dar es Salaam ambapo walijadiliana mambo mbalimbali ya kuimarisha uhusiano.    ( Picha na Jeshi la Polisi) Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini …

Read More »

SUMBAWANGA KUONJA ‘VIBE’ KAMA LOTE LA TIGO FIESTA 2018

picha ya pamoja

Katibu Tawala wa mkoa wa Rukwa, Bernard Makali(katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo kuelekea Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika siku ya Ijumaa mkoani humo, Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi wa Tigo Nyanda za Juu Kusini , Henry Kinabo (kushoto) na Msanii wa Bongo Fleva Nandy. Mkurugenzi wa Tigo Nyanda …

Read More »

MRISHO GAMBO APATA PIGO, AONDOKEWA NA DADA YAKE

dada wa gambo

Mwajuma Gambo, aliyekuwa dada wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefariki dunia alhamisi ya Oktoba 4 2018 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu. Taarifa ya kifo hicho imetolewa leo na Mhe. Gambo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instargram. Gambo ameandika kuwa, msiba …

Read More »

CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA CHAMPONGEZA RAIS MAGUFULI 

S (23)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Skauti Mkuu wa Tanzania Ndg. Mwantumu bakari Mahiza Ikulu jijini Dar es salaam  Oktoba 3, 2018. Chama cha Skauti Tanzania tunapenda kutoa shukrani zetu za  dhati kwa Mheshimiwa John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Read More »

DAR ES SALAAM MWENYEJI MICHUANO YA AFCON 2019.

Mwakyembepicha

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe. Na Shamimu Nyaki -WHUSM Serikali imesema Jiji la Dar es Salaam ndio litakalotumika katika mashindano ya AFCON mwakani kutokana na kuwa na miundombinu inakayokidhi mahitaji ya michuano hiyo. Hayo yamesemwa jana na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo …

Read More »

Data Collaboratives for Local Impact (DCLI) and Tanzania Data Lab (dLab), in partnership with the U.S. Government’s President’s Emergency Plan for AIDS Relief award full scholarships for University of Dar es Salaam Students

Pepfar 3

  The University of Dar es Salaam, College of Information and Communication Technology, Head of Computer Science and Engineering Department, Dr. Honest Kimaro (2ndR) speaks during a ceremony to award full PEPFAR scholarships for the two-year Master of Science in Data Science to UDSM-CoICT students. With him are Ms. Meredith …

Read More »

TOENI TAARIFA ZA MIANYA YA RUSHWA

WABUNGE+TZ

Na Queen Alex Arusha  Wananchi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wametakiwa kuacha tabia ya kukaa kimya kwenye masuala mbalimbali yahnayohusu mianya ya rushwa kwa kuhofia uhai wao na badala yake wanatakiwa kutoa taarifa kwa vyombo husika. Kwa sasa pamoja na kwamba baadhi ya nchi wanapambana na …

Read More »